CHADEMA tendeni haki, nafasi ya Katibu Mkuu mpeni Huyu...

Kwa kuwa mpaka sasa hakuna dalili za kumpata Katibu Mkuu Huko CDM, ebu basi mfikirieni Huyu bwana aliyejitolea kuwa Afisa habari wenu wakati wa Kampeni mpaka akawatosa wanawe na kusalimika peke yake. Huyu anafaa... Mfikirieni tafadhali.
No sweet
 
Watanzania wengi wanajiuliza alipo Kinana!CCM ni kama haina katibu mkuu hivyo hawana sababu za kuihoji CHADEMA. Bora CHADEMA haijateua katibu mkuu kuliko chama chenye katibu mkuu anayeishi uvunguni!
 
Kwa kuwa mpaka sasa hakuna dalili za kumpata Katibu Mkuu Huko CDM, ebu basi mfikirieni Huyu bwana aliyejitolea kuwa Afisa habari wenu wakati wa Kampeni mpaka akawatosa wanawe na kusalimika peke yake. Huyu anafaa... Mfikirieni tafadhali.

Naona ukilalal ukiamka unaota CHADEMA tu.................
 
Sifa ya katibu lazma awe mpiga dili kama mwenyekiti
 
Back
Top Bottom