CHADEMA tawi la SAUT-Tabora yameguka baada ya vijana 89 kutimukia CCM

vijana wa Tabora bado wako gizani na ni rahisi kudanganyika kama waliweza kumshangilia kinana kwa kuwaambia kwamba bendera ya nchi haina maana yoyote kuhamia ccm kwa kupewa fulana si,kitu cha ajabu watajifunza watakapokuwa wanaona wenzao wa miji kama ya Arusha wanavyopata maendeleo
Una kichaa wewe. Maendeleo yepi arusha zaidi ya bange na viroba? Huku lema akionyesha picha za ushoga anaoufanya?
 
bado mnalipwa buku saba au imepanda kwa ujio wa UKAWA!
Mgogo aliyepotea. Bibi zako wanateseka na ukoma wee umesoma ukawasaliti mjinga weee. Huna tofauti na kijana aliyetoka kwenye familia yenye njaa akapewa chakula akashiba peke yake akahemee na alipobahatika kupata akaishia huko huko na kuikana familia yake...laana kuu
 
bado mnalipwa buku saba au imepanda kwa ujio wa UKAWA!
Nini misingi ya makubaliano na ushirikiano wa ukaua/ukawa?
lini cuf ilikoma kuwa ccm B?
lini nccr iliacha kuwa tawi la ccm?
Haya majina hayakuwa ni sababu ya uroho wa madaraka?
 
by mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin jumapili iliyo pita.hii ni ishara ya mwisho wa chadema.nawasilisha

UPDATE
Ukwel ndo huu anatuka atukane anaebisha abishe 89 wameha chadema.
najua hzo kelele cha chura kwa tembo. nyie ni sawa na wana wapotevu wanao saka maisha kwa kujaribu. najua one day mtarejea home kama hawa majembe walio jua ukwel wamerud home,lakin ukwel ndo huo ulio wekwa hapo juu,anaebisha fika ofisi za ccm wilaya unayataku majina ya wanachama wapya walio jiunga Siku ya juma pili.

hachauongo wanachama wote wa chadema hapa saut wenyekati za chama wamehakikiwa kwa sura na kadi zao labda hao ni wale wenu mliowatafuta na kuwapa hizo kadi, njoo ofisini kwenye orodha kama majina hayo yamo.
 
Sisi wengine tulishajiweka mbali na CHADEMA baada ya kuona kuwa kina lengo ya kuisambaratisha nchi yetu kupitia mchakato wa Katiba Mpya! Kauli zao za kigeugeu hasa kupitia Mwanasheria wao "nguli" Tundu Lissu zimetufanya wengine kukiogopa CHADEMA kama ukoma!

uchumia tumbo wako umekufanya ufukuzwe u-moderator,zawadi tutakayokupa ni kukupuuza tu kama wachumia tumbo wengine waliojazana hapo lumumba fc
 
Nini misingi ya makubaliano na ushirikiano wa ukaua/ukawa?
lini cuf ilikoma kuwa ccm B?
lini nccr iliacha kuwa tawi la ccm?
Haya majina hayakuwa ni sababu ya uroho wa madaraka?

UKAWA ndilo tegemeo kubwa lililokuja kwa muda muafaka ili kukomesha uhuni,wizi na upuuzi wa ccm na vibaraka vyake.
 
hachauongo wanachama wote wa chadema hapa saut wenyekati za chama wamehakikiwa kwa sura na kadi zao labda hao ni wale wenu mliowatafuta na kuwapa hizo kadi, njoo ofisini kwenye orodha kama majina hayo yamo.

kamanda achana na hiyo misukule,nadhani ile mitambo ya riz moko ya kutengeneza kadi fake za CDM itakuwa inafanya kazi na buk 7 wanapewa wajifanye wanaCDM ili kuuhadaa umma.CDM ngoma nzito,walishindwa kwa hoja za video fake za ugaidi ije kuwa hivi vioja!
 
Acha uongo wewe kama huna la kutuma tafuta kazi nyingine. Mimi nilikuwepo tokea mwanzo hadi mwisho wa mkutano. Kwanza Kinana na mawaziri wanne kusafisha gundu lililompata Makamba na viongozi wa mkoa kuzomewa na wanachuo wa SAUT - Tabora kutokana na kutaka kuwahadaa wanachuo hao kutoa tamko la kuunga serikali mbili.
Naomba mjue kuwa watu waliokuwepo hapo kwenye mkutano wa Kinana wengi wao walisombwa na maroli na mabasi ili kufanya mkutano uwe na watu wengi.

Mleta mada acha uzuzu wa kuleta uongo hapa. Mimi nipo Tabora na ujue ukilinganisha idadi ya watu kwa CCM na UKAWA, UKAWA the best times 2.

watu kusombwa na maroli pamoja na mabasi this is vivid fabrication!
 
Sisi wengine tulishajiweka mbali na CHADEMA baada ya kuona kuwa kina lengo ya kuisambaratisha nchi yetu kupitia mchakato wa Katiba Mpya! Kauli zao za kigeugeu hasa kupitia Mwanasheria wao "nguli" Tundu Lissu zimetufanya wengine kukiogopa CHADEMA kama ukoma!
Kwa hiyo unaogopa chadema zaidi kuliko mafisadi na wang'oa meno bila ganzi?
 
Mi natafuta chaka la kujifichia sijui cdm au maccm kote matatizo tu bora kua mtanzania tu basi.
 
Una kichaa wewe. Maendeleo yepi arusha zaidi ya bange na viroba? Huku lema akionyesha picha za ushoga anaoufanya?
matusi ya nini,unajua ni kwa nini Arusha inaitwa Geneva ya africa?kwa tanzania Arusha imejitosheleza kama ni kuiunga mkono ccm watu wa Arusha ndio wangekuwa wa kwanza lakini kwa zababu ni watu wanaojua nini maendeleo wanaitaji mageuzi hivyo Tabora bado sana watu bado wana matongotogo machoni kama alivyosema baba wa taifa
 
Back
Top Bottom