CHADEMA tawi la SAUT-Tabora yameguka baada ya vijana 89 kutimukia CCM

May 20, 2014
31
0
Vijana 89 kutoka tawi la SAUT Tabora wamehama CHADEMA,mbele ya katibu mkuu wa CCM taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makini tawala CCM na katibu mkuu Kinana katika mkutano wa hadhara hapa Tabora Mjini Jumapili iliyopita.Hii ni ishara ya mwisho wa CHADEMA.

Nawasilisha

UPDATE
Ukwel ndo huu anatuka atukane anaebisha abishe 89 wameha CHADEMA.

Najua hizo kelele cha chura kwa tembo. Nyie ni sawa na wana wapotevu wanao saka maisha kwa kujaribu. Najua one day mtarejea home kama hawa majembe walio jua ukwel wamerud home,lakin ukwel ndo huo uliowekwa hapo juu,anaebisha fika ofisi za CCM wilaya unayataku majina ya wanachama wapya walio jiunga Siku ya Jumapili.
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
by mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin.hii ni ishara ya mwisho cha chadema.nawasilisha

Join Date : 20th May 2014
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0Hii ni ishara tosha kwa hiki ulichokiwasilisha na kama na wewe ni mmoja wa wanafunzi wanaosoma hicho chuo cha Sauti hapo Tabora basi tutarajie na wewe kuishabikia CCM kwa kuwa tu hauna uwezo wa kufauru hicho unachokisomea isipokuwa utategemea kubebwabebwa tu.
 
Alfred Daud Pigangoma

Verified Member
Mar 30, 2009
1,793
2,000
Acha uongo wewe kama huna la kutuma tafuta kazi nyingine. Mimi nilikuwepo tokea mwanzo hadi mwisho wa mkutano. Kwanza Kinana na mawaziri wanne kusafisha gundu lililompata Makamba na viongozi wa mkoa kuzomewa na wanachuo wa SAUT - Tabora kutokana na kutaka kuwahadaa wanachuo hao kutoa tamko la kuunga serikali mbili.
Naomba mjue kuwa watu waliokuwepo hapo kwenye mkutano wa Kinana wengi wao walisombwa na maroli na mabasi ili kufanya mkutano uwe na watu wengi.

Mleta mada acha uzuzu wa kuleta uongo hapa. Mimi nipo Tabora na ujue ukilinganisha idadi ya watu kwa CCM na UKAWA, UKAWA the best times 2.
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,961
1,225
Kinana alikuwa hapo juzi....huyu mzee hapana kabisa chezea aisee
 
Unaweweseka tu wewe. Mziki wa Kinana hauchezeki kbs...ukawa kwishaaa
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,511
2,000
Mleta thread acha utoto, mods pigeni ban huyu mchumia tumbo, Nipo Tabora hapa na hakuna jambo kama hilo bali ni upotoshaji mkubwa.

CC: Paw Invisible
 
Last edited by a moderator:

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,202
2,000
Sisi wengine tulishajiweka mbali na CHADEMA baada ya kuona kuwa kina lengo ya kuisambaratisha nchi yetu kupitia mchakato wa Katiba Mpya! Kauli zao za kigeugeu hasa kupitia Mwanasheria wao "nguli" Tundu Lissu zimetufanya wengine kukiogopa CHADEMA kama ukoma!
 
Mathias Lyamunda

Verified Member
Apr 4, 2013
1,368
1,225
by mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin.hii ni ishara ya mwisho cha chadema.nawasilisha

bado mnalipwa buku saba au imepanda kwa ujio wa UKAWA!
 
gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,674
2,000
by mzalendo.
Vijana 89 kutoka tawi la saut tabora wamehama chadema,mbele ya katibu mkuu wa ccm taifa KINANA,Vijana hao walirudisha kadi zao na kukabiziwa kadi za chama makin cha tawala ccm na katibu mkuu kinana katika mkutano wa hadhara hapa tabora mjin.hii ni ishara ya mwisho cha chadema.nawasilisha
vijana wa Tabora bado wako gizani na ni rahisi kudanganyika kama waliweza kumshangilia kinana kwa kuwaambia kwamba bendera ya nchi haina maana yoyote kuhamia ccm kwa kupewa fulana si,kitu cha ajabu watajifunza watakapokuwa wanaona wenzao wa miji kama ya Arusha wanavyopata maendeleo
 
May 20, 2014
31
0
Nilimsikiliza JOHN HECHE juzi,niyaleyale ya kila sku yalio washida bugen mkakimbia aibu bugen,nyie ukawa kama wanaume kwel msirud bugen,nasikia kabowe,karipumba na kambatia vinamsumbua bwana mkubwa havitoki ikulu vinataka maliziano,namuomba bwana mkubwa temu hii asivisikilize tuwaone ukawa wao utafika wap,
 
ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,961
1,225
Join Date : 20th May 2014
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0Hii ni ishara tosha kwa hiki ulichokiwasilisha na kama na wewe ni mmoja wa wanafunzi wanaosoma hicho chuo cha Sauti hapo Tabora basi tutarajie na wewe kuishabikia CCM kwa kuwa tu hauna uwezo wa kufauru hicho unachokisomea isipokuwa utategemea kubebwabebwa tu.
Hayo ni tisa, kumi ni wanachama 89 wa chadema wamehamia ccm.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom