CHADEMA Songea kuwasha taa mchana huu

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu, Nimepata taarifa za kuaminika kutoka Songea (nyumbi bombi) kuwa; CHADEMA mkoani humo wanafanya mkutano mkubwa wa hadhara, viwanja vya soko la samaki (zamani) kuanzia saa8 mchana leo 18.03.2011. Kwa ajili ya kuwasha TAA. Kuonyesha serikali inayotupga changa la macho, pia kwa ajili ya kuwaweka sawa wananch kwa ajili ya mikutano mikubwa itayoanza next month huko mikoa ya kusini. Habari ni za kweli100% japokua sijapata kufahamu nani mzungumzaj mkuu, (kiongoz toka cdm taifa) nitawa update soon
 
Mbona unajishuku na kujikanyaga katika maelezo yako.

Aya yetu macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom