Chadema songa mbele tu tumechoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema songa mbele tu tumechoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Mar 1, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  I feel bad in Tanzania kila kukicha kero kila idara. Huduma za serikali ni mbaya ile mbaya at least NGO, Mambo hayaendi kabisa migomo ili hali wao wamesoma bure. Serikali haina kabisa mbinu za kupambana na ufisadi uliojaa sasa kila kona kila mtu kila mafanyakazi anataka pesa kwanza badala ya kazi.

  Tatizo nini watanzania.
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....viva,,,,,for real changes!!!!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mkuu tupo wote viva chadema
   
Loading...