Mkuu hivi unategemea Tanzania Daima wataandika nini, hata hiyo habari wameandika kiujanja ujanja kiukweli hali ni mbaya Chadema.
I'm the one from kahama and I was there watu walikuwa wengi si mchezo.
Mkuu hivi unategemea Tanzania Daima wataandika nini, hata hiyo habari wameandika kiujanja ujanja kiukweli hali ni mbaya Chadema.
Mkuu Molemo kuna Gazeti linasema kwamba Dr. Slaa jana aliambulia idadi ndogo ya wananchi.
Kwanini mmeleta piha ya mwaka 2011 na kuwalaghai watu kuwa ni picha ya jana?
ZITTO ni mzito. Kile alichokutana nacho Shinyanga bwana Slaa hatokuja kusahau. Nadhani itakuwa mara yake ya kwanza kuzomewa na kutaka kuvurumishiwa mawe na wanamageuzi wa kindakindaki. Wamesikika wakisema "CHAMA CHETU KWANZA UCHAGA WENU BAADAE" . Zitto lazima awape homa mwaka huu. Wakilala wakiamka, wakikaa, wakila, wakiwa chumbani na wake zao tendo linakuwa chungu, kisaaa Zitto. Zitto hata akifa kesho kama alivyouwawa CHACHA WANGWE bado misingi yake itasimama daima dumu na mtoto wake au mtu mwingine atakuja simama na kutimiza azma yake ya mabadiliko ya kweli. Siasa ni mipango ya muda mrefu, wote leo tuna mtukana zito na kumpachika majina mabaya tunaweza kufa muda wowote na huku nyum kivuli cha zitto kikaendelea kutawala akili za watoto wetu na vizazi vijavyo. Zitto historia itamuandika kama mwanamabadiliko wa kweli na hawa wa msimu wote watapotea. Ni jambo baya sana kwa mtu kama Msigwa ambaye hata miaka mitano hajafikisha chadema kumshambulia mtu mwenye miaka ishirini katika historia ya chama. Mtu aliyetumia muda wake, elimu,nguvu, mali, n.k katika kukijenga chama leo ni mtu anatukanwa na kijana wa miaka ishirini aliyeijua chadema mwaka uliopita. Mungu si kiziwa/kipofu. Anawajua na anawaona wale wenye dhamira ya kweli katika kuleta mabadiliko katika jamii/masikini na yule mlaghai.
Kimbunga
Dkt. Slaa alipowasili Kahama majira ya saa 12.15 hivi, kulikuwa na hamasa sana, wengine wanasema mzuka. Alikuwa akisisitiza yeye ni muumini wa sheria kwa sababu siku zote hata mapambano yake dhidi ya vita ya ufisadi yako katika msingi huo. Bila kuwatuliza kwa haraka ili awahutubie ndani ya muda mfupi angelazimika kuwa jukwaani muda mrefu.
Haiwezekani kuwaacha watu waliokusubiri masaa 4, kwa hamu ya kukusikiliza, usitoe hata salaam kwao. Labda kama wapo wanasiasa wa vyama vingine wasiothamini wananchi kiasi hicho lakini si viongozi wa CHADEMA!
Ilikuwa lazima ahutubie kwa sababu watu wamekaa uwanjani tangu saa 8 mchana wakimsubiri yeye. Kuchelewa kwake kulitokana na magari kupata hitilafu iliyotokana na mafuta machafu kama ambavyo tumeshaeleza hapa jana.
Wanaodai kulikuwa na vurugu au mabango au sijui vitu gani, wanastahili kuonewa huruma. Najiuliza binafsi, hivi wananchi wa Kahama waliokuwa pale uwanjani wanawachukuliaje wahariri wa magazeti hayo?
Lakini wasizungumze kwa maneno, hivi kweli kwa uwezo wako wa kufikiri na kujua mambo, kungelikuwa na hali kama hiyo, magazeti hayo yangeandika maneno pekee? Watupatie picha zao! Kama hawana basi hata wafanye doctoring. Kama wameweza kwenye stori, wanasubiri nini kufanya hivyo kwenye picha.
Tunashukuru magazeti kama hayo yataendelea kujifia. Nani anasoma Gazeti la Uhuru? Kama unauliza sheria inayohusu muda wa kuhutubia mikutano, bila shaka anza na Rais Kikwete ambaye aliwahi kuvunja hata sheria ya uchaguzi inayosema specifically mwisho ni saa 12.00.
Kitu cha mwisho kabisa, mnaosema kuna sheria imevunjwa kwa Dkt. Slaa kuhutubia muda huo, mbona mnaweka maneno, wekeni ni sheria gani hiyo.
Shuhudia mwenyewe..........
ukweli ni kwamba mzee slaa alifika kahama saa 9 alasiri lakini alishindwa kufika uwanjani kwa kile kilichokuwa kinaonekana mjini hapo kuwa kuna dalili za kuzomewa na kufanyiwa fujo, hata hivyo mkutano haukuwa na watu kabisa mpaka ilipofika saa 11;30 aliamua kwenda kuwasailimia wananchi wachacche waliokuwepo uwanjani, lakini alipokaribia uwanjani alikutana na watu wmebeba mabango yaliyomzomea na mengine kuandikwa jina la zitto.
nashangaa leo eti wanadanganya kuwa alihutubia mkutano mkubwa, na wandanganya kuwa waliweka mafuta machafu mkoani pwani...teh teh....waseme ni kituo gani kama wanajiamini.
Leo yatakayomkuta kigoma ni mpya hatakaa asahau.... Brigedia Nyakarungu
Mkuu unaambiwa mabango yalimnyima nafasi ya kuongea. Hakukuwa na watu pale hadi kurugenzi ya habari imetoa picha za mwaka 2011 wakisema ni za jana. Fuata maelekezo ya TUNTEMEKE kwenye thread iliyofungwa ya https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ama-wananchi-wasusia-mapokezi-na-mkutano.html utabaini ulaghai mkubwa. Kwa hali hiyo sijui kama Dr. Slaa atakanyaga Kigoma. Angesubiri tu vumbi litulie kabla ya kwenda huko.
I'm the one from kahama and I was there watu walikuwa wengi si mchezo.
Kuanzia leo nimekuona kilaza sana the Macupolo nimekuwa CDT kahama tangu saa nane mchana hapo kwa Mchihiyo watu walikuwa wengi sana.
ha ha ha ha jamaa anaandika kitu ambacho hakipo moyoni mwake..du buku7 ni hatari wakuu.
wew brigedia mchovu weka ushahid wako hapa kwamba dr alizomewa c povu linakutoka tuu na uweke tuone na hao watu wachache unosema walikuwepo cos cdm.wameshatoa mpaka picha tunasubiri zako brigedia mbeaukweli ni kwamba mzee slaa alifika kahama saa 9 alasiri lakini alishindwa kufika uwanjani kwa kile kilichokuwa kinaonekana mjini hapo kuwa kuna dalili za kuzomewa na kufanyiwa fujo, hata hivyo mkutano haukuwa na watu kabisa mpaka ilipofika saa 11;30 aliamua kwenda kuwasailimia wananchi wachacche waliokuwepo uwanjani, lakini alipokaribia uwanjani alikutana na watu wmebeba mabango yaliyomzomea na mengine kuandikwa jina la zitto.
nashangaa leo eti wanadanganya kuwa alihutubia mkutano mkubwa, na wandanganya kuwa waliweka mafuta machafu mkoani pwani...teh teh....waseme ni kituo gani kama wanajiamini.
Leo yatakayomkuta kigoma ni mpya hatakaa asahau.... Brigedia Nyakarungu
Mkuu Tumaini Makene kama kulikuwa na watu mbona mmeweka picha za mwaka 2011 badala ya picha za jana? Au na hizo zimewekwa na kagazeti? Kama Magazeti yameongopa na nyinyi mbona mnaongopa mchana kweepeee kwa nini hamuleti picha za jana?
Picha zinazowekwa hapoa ni za mwaka 2011!! Lete za jana mkuu utushuhudishe.
Shuhudia mwenyewe..........
Kuna udini WA hali ya juu Lumumba Buku Saba. Mingoi MUISLAM, Mchange MUISLAM, Faiza Foxy MUISLAM, Chama MUISLAM, Simiyu Yetu MUISLAM, Chabruma MUISLAM, Ifweero MUISLAM, Msalani MUISLAM, m23 MUISLAM, Baba Lao Ritz MUISLAM, ZeMarkopolo MUISLAM, Kilombero Yetu MUISLAM, na wengine wote.
Kuna haja ya vyombo vya usalama kuliangalia vizuri hili genge...