unaongelea magazeti ya udaku? Habari leo,mzalendo,tazama ama uhuru? Vipi matamko yamekwisha au watu wamegoma kutumika?
hayo ni magazeti ya vichaaa
unaongelea magazeti ya udaku? Habari leo,mzalendo,tazama ama uhuru? Vipi matamko yamekwisha au watu wamegoma kutumika?
mimi nilikuwepo mkutanoni mwanzo mwisho hakukuwa na zomea labda umrchanganya na mkutano wa kinana
ukweli ni kwamba mzee slaa alifika kahama saa 9 alasiri lakini alishindwa kufika uwanjani kwa kile kilichokuwa kinaonekana mjini hapo kuwa kuna dalili za kuzomewa na kufanyiwa fujo, hata hivyo mkutano haukuwa na watu kabisa mpaka ilipofika saa 11;30 aliamua kwenda kuwasailimia wananchi wachacche waliokuwepo uwanjani, lakini alipokaribia uwanjani alikutana na watu wmebeba mabango yaliyomzomea na mengine kuandikwa jina la zitto.
nashangaa leo eti wanadanganya kuwa alihutubia mkutano mkubwa, na wandanganya kuwa waliweka mafuta machafu mkoani pwani...teh teh....waseme ni kituo gani kama wanajiamini.
Leo yatakayomkuta kigoma ni mpya hatakaa asahau.... Brigedia Nyakarungu

sasa subirini leo kigoma sukari itakashuka
Gamba sugu
Usimsumbue Ben ana majukumu ya kitaifa, tuone makamanda wa kanda ya ziwa magharibi. Piga 0715477968.
usaliti ni dhambi mbaya sana,vip umeona matamko yenu yamebuma? Eti na wewe ulikuwa unataka uongoz cdm?kama ndivyo dr ana intelijensia kali sana katika kubain mapandikiz ya ccm,DR slaa anajenga chama,mwache ajenge chama.
Zitakuwa ni hujuma za wasaliti hizi.Ziara ya Dk. Slaa jana iliingia dosari baada ya magari aliyokuwa akiyatumia kupata hitilafu za kiufundi zilizosababishwa na kile kinachodaiwa ni mafuta machafu waliyoyaweka katika kituo kimoja cha mafuta kilichopo wilayani Kibaha mkoani Pwani.
Tatizo watu mnaanza kutukanana jamani why?
Naomba huyu anaejiita molemo atutajie kituo cha mafuta kilichowekwa mafuta machafu...maana ni kosa kabisa kisheria, sasa ataje hicho kituo sasa ili watu waamini kuwa mzee slaa alichelewa kufika kahama...nachojua slaa alifika kahama saa 9 alasiri lakini alishindwa kwenda uwanjani kwa idadi ndogo ya watu na aliambiwa kuna abango yamebebwa na ataweza kuzomewa lakini aliamua kukaa mpaka saa 11;30 aliponda uwanjani kusalimia tu wala hakuhutubia
Ben ana jukumu gani la kitaifa zaidi ya kumtumikia Josephine Mushumbusi?
Daktari mzima unampraise mtu SIFURI kama Ben!!!
Hii ni HASARA kwa taifa!!!
Ben ana jukumu gani la kitaifa zaidi ya kumtumikia Josephine Mushumbusi?
Daktari mzima unampraise mtu SIFURI kama Ben!!!
Hii ni HASARA kwa taifa!!!
Mkuu Molemo kuna Gazeti linasema kwamba Dr. Slaa jana alizomewa na kufanyiwa vurugu huko Kahama na pia aliambulia idadi ndogo ya wananchi. Gazeti la Tanzania Daima linakuja na habari kwamba amehutubia mkutano mkubwa wa hadhara! Hivi sheria za nchi si ni kwamba mwisho wa kuhutubia mikutano ya hadhara ni saa kumi na mbili; sasa Dr. Slaa alifika saa kumi na mbili viwanjani, alihutubia saa ngapi?
Pia hapo kuna sauti ya tulieni, tulieni alikuwa akituliza nini? Siyo hizo vurugu ambazo tumeambiwa kuwa alifanyiwa?
Zitakuwa ni hujuma za wasaliti hizi.
Kuna udini WA hali ya juu Lumumba Buku Saba. Mingoi MUISLAM, Mchange MUISLAM, Faiza Foxy MUISLAM, Chama MUISLAM, Simiyu Yetu MUISLAM, Chabruma MUISLAM, Ifweero MUISLAM, Msalani MUISLAM, m23 MUISLAM, Baba Lao Ritz MUISLAM, ZeMarkopolo MUISLAM, Kilombero Yetu MUISLAM, na wengine wote.
Kuna haja ya vyombo vya usalama kuliangalia vizuri hili genge...

Mkombozi wetu Wilbroad Slaa (PhD) usisahau kuongelea mgao wa umeme unaotuletea umaskini mkubwa na kuminya ajira kwa vijana.
Dr Slaa wewe ni sauti ya Simba, ukiongea magamba wanatetemeka maana wamezoea Kikwete sauti ya KASUKU....