Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education

Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.
Karne ya leo nashangaa kuona mtu mpumbavu kama huyu eti anayejiita msomi akati analeta ubaguzi wake, hivi hao vijana masikini sio watanzania? Kwani elimu uliyonayo ndio nini? Nipe mchango wa elimu ya Chenge na Balali ktk ujenzi wa tz yetu? Kumbuka karl Max alisema kwamba kweneye scientific socialism kwamba mabadiliko ya kweli huletwa na tabaka la chini ambalo linakandamizwa na tabaka la juu, toka lini mtoto wa waziri aandamane?
Nina wasiwasi na elmu yako kama ya mkoloni iliyoleta disunity kwa waafrika sababu ya mafalla na majuha kama wewe.
Nyambafu......
THINK BIG.
Rubbish. I thought you had a statistical evidence about your research, oh kumbe ulikuwa unaongelea hasira zako za kuona CDM inavyopendwa sana na wananchi. Lakini kumbuka kwamba hao unaowadharau eti hawajasoma ndo wapiga kura. Ungekuwa unawadharau hivyo halafu hapigi kura ningekuona wewe msomi, Wewe ni bure kabisa. Kama umesoma kama unavyojigamba basi tumia elimu yako kurekebisha Chama chako hicho ambacho unakiona ni bora.
Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.
Kweli wewe ni zawadi ya magamba, unaona sasa vijana wa vijiweni wanavyo wafanya muweweseke? Ndo umeandika nini matapishi matupu?
Inapendwa na kundi la watu aina gani, kuwa muazi ktk hili.
Zawadi kumbe bado upo? Nilikwisha kukusahau! Sasa kufufuka huko na hoja hafifu, taabu tu! Hivi kwa nini unawabagua watanzania? Hao vijana wa kijiweni hawastahili kuwa wanachama? Ilikuwaje wawe wa kijiweni? Huoni kwa nini hawa wawe wapinzani? Huoni ni kielelzo tosha kwamba hawakubaliani na mfumo wa utawala? Na Kadiri ya wingi wao katika upinzani ni hoja tosha kwamba CCM mmeshachapia!
Lakini angalia hoja za hapajukwani, hayumkini mpangilio mzuri aw hoja unaashiria mchangiaji ni mwana CDM ana maelekezo aw upinzani, maana yake ni...........
Nyege za kisiasa mbaya sana ona hoja zake ko vjana wa vijiweni sio wapiga kula.
Mbona unakuwa na kung'ang'ania kundi la watu wa hali ya chini kupenda chama cha kisiasa, ...frankly speaking, is that how a great thinker should see?..in that perspective?! Tafadhali jibu hapo..na ingekuwa vizuri jibu likiwa la ndiyo au hapana, na maelezo mafupi ndio tuendelee...lakini baada ya kujibu hapo.
Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.

mleta mada kakurupuka hana data zozote za maana, angeleta evidence tungemjibu lkn kwa kuwa kapiga porojo anajibiwa sasawa na upumbavu wake. kwa taarifa ndogo hata serikalini 80% ya wafanyakazi ni wapenzi na wanachama wa cdm
haya ccm mnaodai mna elimu, tuambieni miaka 50 ya uhuru mmetuletea nini? hakuna maji, umeme, elimu na maradhi yametapakaa. viongozi karibu wote wa ccm(97%) ni wezi wa mali za umma, je elimu yenu imewasaidia nini? tambua viongozi wanazaliwa na sio wanafundishwa madarasani kama unavyodhani. ebu tupatie tathmini ya elimu ya ccm na maendeleo ya miaka 50, fikiria china na korea 1961 tulifanana kila kitu ktk uchumi lkn sasa hivi wenzetu wameendelea kupinfukia, ccm hata barabara zimewashinda kujenga?mnaongoza kula rushwa
huyu nadhani katumwa na magamba kuchafua hali ya hewa
1. Hapo kwenye RED tatizo unakaa bila kuwa na kumbukumbu kama CCM ina wanachama wengi kwa nini uchaguzi mkuu 2010 walifunga vyuo vyote na kuwakosesha wanafunzi hao haki yao ya kupiga kura?Kwanza napenda kuunga mkono hoja yako kuwa chadema sio kimbilio la wasomi bali ni kimbilio la failures. Hii nimekuwa nikiishuhudia mara kwa mara kwa kuangalia wanachama wengi wa chadema katika eneo ninaloishi, nikagundua wengi ni MATEJA, WEZI, VIJANA WA VIJIWENI. Nikaenda mbali zaidi nikagundua wengine wanaoiunga mkono chadema ni hawa wakimbizi ambao wanaishi hapa nchini kinyume na sheria. Makundi haya ya watu mara nyingi hawatambuliki katika daftari la kudumu la wapiga kura, kwa maana hawana kadi rasmi ya mpiga kura ambapo kimsingi hawawezi kutekeleza haki ya kupiga kura.
Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.
Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.
Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.
Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.