Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Zawadi Ngoda Lol pole sana na mawazo yako mgando halafu wewe nakufahamu sana wewe na familia yako kwenu kwanza kumechoka sana barabara vumbi kila kona na kila leo mnamchagua Mbunge wa CCm mbunge wenu ni Ngwilizi kama sikosei nafahamu kijijini kwenu nyie na Magamba Ccm lakini hakuna cha maana mnachopata sasa kama Chadema wana elimu ndogo na wale Magamba waliosoma Havad wamefanya nini kama sio kuwa wezi ati mabilioni waliyoiba wanaita vijisenti na huyo kasoma Havad ati Lol nilipata bahati ya kutembelea Lushoto aisee kumechoka ni mbaya poleni walushoto kwa kuwapa Magamba kula.Kumbukeni uongozi hausomewi na madigree si kigezo cha kuongoza nchi wewe unaweza ukawa umesoma lakini akili ya kufikiraia huna ati unajiita Zawadi zawadi M...ku.....ndu
Ha ha ha ha ha ha! Kwenye hizo red; Sijui kama umeshawahi kukutana na ujumbe unaofanana na huu: "sikuja kwa ajili ya wenye shibe bali wenye njaa" na hao uliowataja hapo wanaangukia katika kundi hili (la wenye njaa). Nani kaleta njaa? Ni CCM kwa sera na mipango yake mibovu - sera na mipango mibovu katika elimu, afya, n.k.
Kwa kuwa malengo na sera za Chadema ni kumkomboa mtanzania na madhila ya utawala wa CCM na kwa kuwa waathirika wakuu ni hao unaowabeza, haishangazi, kama unavyodai mwenyewe, kwamba kundi hilo ndio "waliojazana" Chadema. Na "habari njema" japo mbaya kwako na mafisadi wenzako, ni kwamba hili ndilo kundi kubwa la watanzania. Natumaini umepata message.
Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
chama cha wahuni wanaotumiwa kumwaga damu kwa ujira kidogo.
Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.
Hivi VIJANA WA KIJIWENI sio watanzania? nani aliyesababisha wawe vijiweni kama sio serikali dhaifu? ningekuwa siogopi Ban ningekutukana tusi kubwa!!!!
Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education
Tumewachoka chadema wanaoshabikia hawakijui undani wake ila ukiwa mchunguzi utagundua kile ni chama cha ukoo wa kaskazini mwa Tanzania.
Ngiba yamba nasa.
Mkuu kwanza kabisa nikupongeze kwa tafiti yako, maana naamini umetumia muda mwingi, rasilimali na nguvu katika kufanikisha tafiti hii, hapa napenda wachangiaji wasianze kuulizia methodology ulioitumia maana vitu vingine vipo wazi tu.
Kwanza napenda kuunga mkono hoja yako kuwa chadema sio kimbilio la wasomi bali ni kimbilio la failures. Hii nimekuwa nikiishuhudia mara kwa mara kwa kuangalia wanachama wengi wa chadema katika eneo ninaloishi, nikagundua wengi ni MATEJA, WEZI, VIJANA WA VIJIWENI. Nikaenda mbali zaidi nikagundua wengine wanaoiunga mkono chadema ni hawa wakimbizi ambao wanaishi hapa nchini kinyume na sheria. Makundi haya ya watu mara nyingi hawatambuliki katika daftari la kudumu la wapiga kura, kwa maana hawana kadi rasmi ya mpiga kura ambapo kimsingi hawawezi kutekeleza haki ya kupiga kura.
Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.
Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.
Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.
Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.