Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.
Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.
Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.
Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.
Nyege za kisiasa mbaya sana ona hoja zake ko vjana wa vijiweni sio wapiga kula.
yaani kuna kawaida wanandoa wakaishi kwa amani kwa muda kisha pakatokea siku wakakosana mmoja mke/mme akanena yasiyo nenwa mfano; we unaweza kujiita mwanamme/mwanamke .. mi nakufichia siri tu .. n.k pia binadamu huwa na wivu hasa wakiona mwenzao anapata umaarufu hasa kwa kutajwa mara kwa mara watasema .. hamna lolote yule si chochote .. kwanza .. Sasa chadema wamefika mahali ambapo wamepata umaarufu baadhi ya watu wnaona wivu na kusema mara wahuni, hawajasoma, wana ukabila n.k. kwa nini wasiviseme vyama vidogo vidogo? ndo nasema hii ni kuktishana tamaa basi kama achofanyacho mtu ni halali asikate tamaa.View attachment 69330
Mkuu kama Babaa Junior alivutengeneza ugomvi kwa wanandoa hawa kisha akaiba mke wa jamaa? au ulikuwa una-maana gani mkuu
kelele nyingi zimepigwa eti chadema inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa chadema zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa chadema ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa chadema ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe. Na ndio maana cv zao zinapoanikwa hadharani kama mh sitta alivyofanya kwa mh mbowe, mh slaa akaanza kusema kuwa sitta kamdharau mbowe. Jamani, kukutangazia cv yako ndio dhambi.
Na kutokana na cv nyembamba za wanachama wa chama hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa chama cha vurugu nchini. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini chadema haiwezi kuchukua nchi yetu.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
.
wewe kwa nza si msomi!unadhani umesoma!?ask your brain sincerely(naibu waziri wa elimu)-eti nimesoma while lugha uliyopata hiyo-brain value -huijui?foolish tanzanians1?.?!
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education