CHADEMA: Shukrani kwa Umma kutusikiliza

CHADEMA: Shukrani kwa Umma kutusikiliza

Hawa ccm wanaogopa wapinzani wao wanalipi jipya zaidi ya kuwahofia wenye mawazo mbadala kwa watanzania
 
We ng'ombe....attention seeker ni magufuli na ccm waliopiga marufuku upinzani huku wao wakionekana kila siku...
Majibu ya Kibavicha haya.
Hata nyie bavicha hamtakubali mkiona Magufuli wetu haonekani.Kinana tu kuugua mlitaka kuandamana mkihoji mbona haonekani.Ni Rahisi sana kuwapiku chadema kwa sababu hamjui mtakacho vurugu mechi tu
 
Kwanini mkuu nyie mnafanya mikutano wapinzani hawafanyi kma ni muda wa kazi kwani hyo mikutano ya magufuli huwa inafanyika baada ya muda wa kazi???? Dah nchi hii Bwana
 
What a fucking News Alert!
Mkuu hukulazimishwa kupita humu na chuki zako kwa upinzani sizielewi kabisa wakati hujui sisi ndio tupo kuiamsha serikali ifanye kazi yake ssa badala mfurahi maana tunaleta changamoto na madudu yaliyojfunika kma hya ya madini na pia tunatoa sera mbadala mfano bajeti kivuli eti nyie mnaleta chuki saa chadema ikifa mtafaidika nni????
 
Kwanini mkuu nyie mnafanya mikutano wapinzani hawafanyi kma ni muda wa kazi kwani hyo mikutano ya magufuli huwa inafanyika baada ya muda wa kazi???? Dah nchi hii Bwana
umeona wapi ccm wakafanya mikutano?Huwezi kumzuia Magufuli,yule ni Rais na bahati mbaya tuna Rais mmoja wengine hao feki wako yanga na simba
 
Toeni Tamko la kuingia akilini tokea lini chama pinzani kuunga mkono serikali iliyopo madarakani siku zote vyama vya upinzani huwa zinaungana ki sera. Leo NASA manifesto yao ni kupiga vita ufisadi katika serikali ya Jubilee na leo Chadema wanaunga mkono chama kilichokosa mwelekeo cha Jubilee haswa kwa kukumbatia ufisadi. Kwa kauli ya Chadema inamaana hata serikali ya Rais Uhuru Kenyattta ikiiba kura watatambua matokeo. Chadema ilitakiwa kutotangaza wanaunga upande gani mkono kwa maslahi ya Yao. CCM haijatoa tamko lolote inaunga upande gani mkono.
Hapa dalili tosha Chadema ipo ICU kisiasa.
Mkuu usijitoe ufaham wameunga mkono simply becoz kenyatta kwenye upande wa demokrasia yupo vzuri hilo tu ndio limetufanya tujiunge naye hayo mengine ya ufisadi ni ya wapiga kura wataamua !!!!

Sasa ulitaka tuwaunge mkono NASA wakati odinga anaunga mkono chama cha magufuli ambacho kimeleta udikteta wa kisiasa ambapo vyama vya upinzani vimebanwa kuliko muda wowote wa vyama vingi ssa ulitaka tumsupporr afu akishinda ndo amsupport magufuli na udikteta wake???? No no bora wamsupport uhuru maybe anaweza mshauri magufuli alegezw kamba na kuruhusu uhuru wa kisiasa

Mie nimewaelewa sana
 
umeona wapi ccm wakafanya mikutano?Huwezi kumzuia Magufuli,yule ni Rais na bahati mbaya tuna Rais mmoja wengine hao feki wako yanga na simba
Ila we jamaaa una shida sana kwani walizuia mikutano kisa chadema haijatoa rais au walizuia kisa wanasema ni muda wa kazi!!!! Eti watu hawafanyi kazi wanaenda kwenye mikutano ndio nauliza sasa je wanapoemda kwenye mikutano ya mwenyekiti wenu huwa ni baada ya muda wa kazi????? Nijibu hili tu basi
 
Majibu ya Kibavicha haya.
Hata nyie bavicha hamtakubali mkiona Magufuli wetu haonekani.Kinana tu kuugua mlitaka kuandamana mkihoji mbona haonekani.Ni Rahisi sana kuwapiku chadema kwa sababu hamjui mtakacho vurugu mechi tu
Sasa hapo kitu gani huelewi mkuu na hilo povu lako la omo? Kwamba ccm sio ndo the only attention seekers? Acha kujitoa ufajamu na hizo buku 3
 
Kuwa ktk hilo lichama ni kujitafutia laana kwa zulma na kuligawa taifa kwa kauli zao za Kejeli ndizo zinawamaliza ktk ulingo wa Siasa. Huku mnaonekana huko mitaani mnaogopa kujitambulisha Poleni Sana
 
Mkuu hukulazimishwa kupita humu na chuki zako kwa upinzani sizielewi kabisa wakati hujui sisi ndio tupo kuiamsha serikali ifanye kazi yake ssa badala mfurahi maana tunaleta changamoto na madudu yaliyojfunika kma hya ya madini na pia tunatoa sera mbadala mfano bajeti kivuli eti nyie mnaleta chuki saa chadema ikifa mtafaidika nni????
Taarifa za kiuchunguzi zinadokeza kwamba , huyo fukara aitwaye Troll Jf ni mchumia tumbo anayetegemea lishe kutoka kwa RC wa DSM na kiasi fulani kutoka lumumba.

Amepangiwa nyumba maeneo ya Jangwani na ccm , hana ujanja , taarifa zake zaidi nitakutilia kwa PM , usihangaike naye.
 
Mkuu usijitoe ufaham wameunga mkono simply becoz kenyatta kwenye upande wa demokrasia yupo vzuri hilo tu ndio limetufanya tujiunge naye hayo mengine ya ufisadi ni ya wapiga kura wataamua !!!!

Sasa ulitaka tuwaunge mkono NASA wakati odinga anaunga mkono chama cha magufuli ambacho kimeleta udikteta wa kisiasa ambapo vyama vya upinzani vimebanwa kuliko muda wowote wa vyama vingi ssa ulitaka tumsupporr afu akishinda ndo amsupport magufuli na udikteta wake???? No no bora wamsupport uhuru maybe anaweza mshauri magufuli alegezw kamba na kuruhusu uhuru wa kisiasa

Mie nimewaelewa sana
Nakubaliana na hoja yako kwahiyo tuwe nasubira tuone kama Rais Uhuru Kenyatta atakubali matokeo ya uchaguzi mkuu August 2017
 
Hakuna chama kinachowadhihaki Watanzania kama Chadema, Chadema ni Mkosi, Chadema ni jehanamu, Chama cha Kishetani. Kila kitu kupinga. No big No.

CCM chama cha mafisi..
1495968794867.jpg
 
Taarifa za kiuchunguzi zinadokeza kwamba , huyo fukara aitwaye Troll Jf ni mchumia tumbo anayetegemea lishe kutoka kwa RC wa DSM na kiasi fulani kutoka lumumba.

Amepangiwa nyumba maeneo ya Jangwani na ccm , hana ujanja , taarifa zake zaidi nitakutilia kwa PM , usihangaike naye.
Yaani kuna watu wanakera sana humu JF huyu ni mmojawapo!! Yaani hanaga hoja kabisa zaidi ya mipasho tu utafkiri muimba taarab....... ssa anaacha kuhoji kilichopo kwenye taarifa ya baraza kuu anaanza kuhoji ALIGNMENT YA WORD DOCUMENT???? Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom