Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Teh teh....ukuta umevunjika, siyo?Safi sana, tunasubiri operesheni Kata funua
Op Funua Upatwe.Safi sana, tunasubiri operesheni Kata funua
Safi sana, tunasubiri operesheni Kata funua
Kejeli zitakuwa nyingi sana kwenu nyie wa upande wa pili lakini chadema sio chama cha kubeza kama mnavyofikiria. Kumbukeni Wassira aliongea mengi kuhusu hiki chama bado sijaona mwisho wake mpaka sasa
Toeni Tamko la kuingia akilini tokea lini chama pinzani kuunga mkono serikali iliyopo madarakani siku zote vyama vya upinzani huwa zinaungana ki sera. Leo NASA manifesto yao ni kupiga vita ufisadi katika serikali ya Jubilee na leo Chadema wanaunga mkono chama kilichokosa mwelekeo cha Jubilee haswa kwa kukumbatia ufisadi. Kwa kauli ya Chadema inamaana hata serikali ya Rais Uhuru Kenyattta ikiiba kura watatambua matokeo. Chadema ilitakiwa kutotangaza wanaunga upande gani mkono kwa maslahi ya Yao. CCM haijatoa tamko lolote inaunga upande gani mkono.
MUNGU yupi? ndo mana umeandika Mungu badala ya MUNGUMungu ibariki Chadema .
Mungu gani? au Unamaanisha Miungu yenu!Mungu ibariki Chadema .