Chadema should not apologize!

Na hasa anaposema uchaguzi uliofanyika ni free and fair!! Uchaguzi wa nchi za Kiafrika uwe free and fair? Atueleze wale wapiga kura milioni 10 waliopotea siku ile ya kupiga kura walikwenda wapi?

mhhhhh huuu ni mtihani kwake
 
Dar-Es-Salaam,
Nashukuru sana. Kesi ya kumpoka mtu mke? Nadhani ni vema wakaulizwa walioianzisha. Mimi sawa na wewe sijui ilikoenda. Ukifanikiwa kujua nijulishe ili nami nijue ilikoenda au ilikoishia baada ya uchaguzi.


Asante sana Ris wangu ninaekutambuwa, hawa makuwadi wa mafisadi huwa unawajibu vizuri na kuwafilisi hoja zao chovu, nana mimi naomba nikusaidie kumuuliza swali Dar es salaam, je? yule mkwere anaedondoka dondoka kila siku anasumbuliwa na malazi gani? ni kifafa au ni nini? tunapaswa kujuwa.
 

If one wants to be respected as well as his/her ideas as well, should use atleast common sense!
 
Mtu kuisema CHADEMA ndio kashakuwa part ya CCM handlers?

The original post betrays a poverty of mind I cannot even begin to address, talking about "an hypocryte" and "interlectually"

I could drag this to a spellchecker, but I won't.

Some peeps just like to sound off.
 

Dr Slaa,

With all due respects naomba kuuliza maswali yafuatayo.

Kwanza kabisa nakubaliana nawe kuwa msimamo wa Chadema haukuwa kutomtambua Rais Kikwete kwani msimamo huo ulipaswa kuwa na baraka za Kamati Kuu ambayo imetamka kama chama kinamtambua Rais Kikwete na ninyi mkaamuriwa kushiriki shughuli zote za chama.

Hata hivyo napenda kujua,

a. Hivi siku ile ya sherehe kule Dodoma haukutamka kuwa Chadema hamumtambui Rais Kikwete?

b. Hivi haukutuma message kwa wabunge wako kusisitiza umuhimu wa kuwalk out wakati Kikwete anaingia bungeni ili kuonekana mko consistancy katika kutumtambua?

c. Hivi jioni siku ile wabunge walivyomsusia Rais Kikwete haukusisitiza kuwa hamumtambui katika mahojiano na Radio?

d. Hivi haukutumia ID yako hapa Jamiiforums kusisitiza kuwa wabunge walitoka nje ili kuonyesha ulimwengu kuwa hamumtambui Rais Kikwete?

Ni wazi kuwa hata mwenyekiti wako Mbowe hakuwa akiiafiki hilo na ndio maana katika matamko yake yote alisistiza kuwa Chadema inamtambua Kikwete lakini ni wewe na Tundu Lissu ndio mliokuwa mkisisitiza kuwa hamumtambui Rais Kikwete. Alifanya hayo siku kadhaa baada ya wewe kuongea na Radio lakini zaidi kwa msisitizo aliyasema hayo katika ule mdahalo na Mheshimiwa Hamad Rashid. Kitu ambacho kilikuwa kinaonesha wazi inconsistency iliyokuweko katika msimamo huo lakini bahati nzuri sio wengi waliokuwa tayari kuliona hilo hivyo haikuwa na madhara makubwa.

Sasa Mzee wangu unapoanza kuchakachua maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama chako ili mradi tu ukwepe kuonekana kuwa ulikosea na Naibu wako na wabunge wengine ndio waliopatia hivi kweli huoni kuwa unazidi kuabuse imani ya Watanzania wapatao milioni mbili ambao walikuamini? Humility kitu muhimu sana katika siasa endelevu na uzuri ni kuwa unayo hiyo haiba ya kuonekana kuwa humble...kukubali kuonekana kuwa mlikosea itasaidia sana kuliko kuendelea kuspin maagizo ya Kamati Kuu....Hiyo ni hulka ya ujanjaujanja ambayo anaibeba mwengine na sio wewe Mzee wangu...

Mzee wangu, kumbuka kuwa wewe ulikuwa mhimili wa uaminifu katika sura ya uongozi wa Chadema na sio Kiongozi wako Mkuu na hata wengineo. Yaliyosemwa wakati wa uchaguzi yanaweza kusahaulika lakini unachokifanya sasa just kusave face yanamong'onyoa imani hiyo ambayo ni muhimu kwa mafanikio ya Chadema na Tanzania kwa ujumla huko mbeleni. Sura ya uaminifu ambayo unayo ni political capital kubwa kwa Chadema na haitakuwa busara kuichakachua...

Na pia hizi comments za kumwaga damu umekuwa ukizitumia sana tangia hivi karibuni....unajua wazi kuwa kusema kuwa hatupendi kuona damu inamwagika kwa maana ya kisiasa ni kuwa tukubaliane ama sivyo damu itamwagika....Chonde Mzee wetu, vijana wako bado tunaamini mabadiliko sahihi na makini kwa njia ya demokrasia......Yawezekana ninyi umri umeenda na mngependa kuona matunda ya mapambano yenu kabla hamjatuaga lakini tafadhali Mzee wangu, taratibu ndio mwendo, wenzetu wote waliokimbia tunajua walipofikia...sio kwema

Nashukuru kama utaniwia radhi Mzee wangu kwa heshima na taadhima zote..

omarilyas
 
hivi kama wewe tu ambaye hata dr slaa hakujui unajua kama kesi ilikuwa withdrawn baada ya uchaguzi, yeye dr slaa akisema hajui kesi ilipoishia/au hajui jibu la muuliza swali kuwa iliishaje, mtu mwenye akili atasemaje?
Angalia tena jina langu.
 

Nikisema CHADEMA is becoming a truly RIGHTWING gang/party mtasema sina ni njema nao.......Reactionaries at its best...
 

Watu kama nyie ndiyo mnaoharibu jamvi. Kesi yake hiyo ina maana gani katika mada hii?

Hivi kuna viongozi wangapi ambao wanakupa heshima ya kukujibu? Ambao wanatuheshimu kwa kuingia humu kujadiliana nasi masuala ambayo yana umuhimu kitaifa? Wewe kama hii haina maana basi bora ungekaa pembeni kuwaachia wale ambao wanaona umuhimu wake waendelee na mada. Heshima ni kitu cha bure.

Amandla.....
 

Hili swali nilisha lijibu hapo juu kidogo, kasome huko majibu yake.

Kajibu au kachakachuwa?
 
Kama huna la maana la kuandika hapa JF lazima uandike upuuzi kwa kuwa linahusu Chadema? Si usome tu michango ya wengine? naona hadhi yako inazidi kushuka sana.
 

Nadhani hapa ndipo kwenye utata. Ni nani mwenye mamlaka ya kuthibitisha kuwa hesabu za Tume ni sahihi? Na hili litathibitishwaje bila Mahakama kufanya uchunguzi? Kwa maneno mengine, aggrieved party impelekee nani ushahidi wake wa mapungufu katika hesabu? Kwa kuzuia Mahakama kuchunguza uhalali wa hesabu za Tume kunafanya hicho kifungu 6 kuwa hakina maana. Kimewekwa tu ili kufurahisha jamvi.

Amandla......
 
well said mwanakijiji. you always write point.
hawa mazezeta wachadema wasioona wakikosolewa achana nao. I always respect your threads. keep it up. thanx again.
 
well said mwanakijiji. you always write point.
hawa mazezeta wachadema wasioona wakikosolewa achana nao. I always respect your threads. keep it up. thanx again.
Wewe ndiyo zuzu kweli ni kati ya 70% fuata upepo chochote atakachosema wewe unabugua bila kutazama.
 

Maswali yako yanaonyesha kuwa wewe ni mshirika ni mjumbe au ni mmoja wa wanachedema ambaye unahudhuria vikao,naweza kuuliza swali kama haya yote uliyaona kwenye vikao vyenu kwamba Dr slaa na Tundu Lissu ndio walikuwa wanashinikiza baadhi ya maamuzi ndani ya chama au kwa wabunge sasa kwa nini hamkuyamaliza kwenye vikao vyenu badala ya kuleta kwenye jamvi lakini kama huhudhurii vikao vya wanachadema ni kwa vipi utatuthibitishia kwamba unachofanya si damage control ili kumsave rafiki yako Zitto aliyepoteza heshima kwa ajili ya undumila kuwili kwa kwa sababu ya kwenda kinyume na makubaliano ya wabunge wote ambapo hata yeye alikubaliana nayo
si ni huyu anayekusimulia hatua zote zilivyokuwa kwenye hivyo vikao nawewe unamwaga hapa kwa njia ya maswali ukweli unabaki pale kwmba rafiki yako Zitto na nilikuomba siku nyingine umwambie hawafanyii viongozi uharibifu bali hata chama chake na sisi wafuasi wao tunnathirika kwa jinsi Zitto anavyotaka kujisafisha kupitia watu kama wewe
 

MODS ban huyu mtu quickly, sisi tunamuuliza Dr Slaa maswala ya msingi na anajibu openly hapa jamvini, Dar-es Salaam anaongelea maswala
ya ngono, ban him mara moja plse, niliposema nataka kupiga kwa mkono mmoja, nimfunze adabu awe anakili za kuongea na watu wazima, sikueleweka unaona now, who the hell is this guy? ban him, ningempata huyu akiona mwanaume atakimbia kama mwehu, ban him
 


- Hivi what happened na ile mantra ya hoja kujibiwa kwa hoja? Is it dead au? I mean member mmoja anayeingia kwa jina la bandia anapata wapi gutts za kumshambulia member mwingine mwenye jina la bandia kama lake? Hivi kweli utasimama mbele ya watu wenye akili timamu na kusema kule JF kuna jamaa anatumia jina la bandia anatuchanganya taifa?

- Watu wanaotumia majina ya bandia, si ina maana moja tu kwamba wanakubaliana kujadiliana kwa hoja tu, maana hawafahamiani I mean I am missing something hapa nini? Hoja si hujibiwa kwa hoja au?


William.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…