Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Shangilieni sana kuchukua Jiji la Dar, Mbeya, Iringa na Arusha kama sijakosea. Ila jueni hii ni mara ya mwisho maana 2019 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mtashindwa vibaya kwa kukosa Sera na Mwelekeo baada ya kuacha misingi yenu! 2020 ndio kabisaa hamna chenu maana hata mgombea wa URAIS hamtakuwa naye! Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayekubali kuzungusha mikono wala kudeki barabara wakati huo! HAPA KAZI TU!