CHADEMA sasa wateue Wabunge wa Viti Maalumu

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Kwakuwa sasa mchakato wa kuwafukuza wale wanawake 19 waliopewa ubunge wa viti maalumu kinyume na taratibu umekamilika kwa Baraza kuu kutoa maamuzi, ni vema sasa CHADEMA ipeleke barua rasmi kwa Spika kuhusu maamuzi hayo na kisha uteue wabunge rasmi sasa wa viti maalumu kw kufuata taratibu za chama

Kwakuwa wanatambua kuwepo kwa serikali ndiyo maana hata Mwenyekiti alipofutiwa kesi yake alialikwa na Rais Ikulu na akaenda wakajadiliana naye.

Wasipo fanya hivyo tutaamini kuwa baadhi ya viongozi wana maslahi na wale wasaliti 19
 

Usiwe na haraka Sana. Wanaweza kusamehewa na kurudishwa kundini.
 

Ngoja tupambane na kodi na tozo za kidhwalimu kwenye petrol na diesel kwanza
 
Kwanini usisubiri wabunge wengine 2025?
Unapata hasara gani wakibaki au kuondolewa.
 
Acheni roho mbaya waacheni hao wadada wambulie raha za mwisho mwisho za chadema

Chama chenyewe kimeshakufa tayari
 
Kwakuwa sasa mchakato wa kuwafukuza wale wanawake 19 waliopewa ubunge wa viti maalumu kinyume na taratibu umekamilika kwa Baraza kuu kutoa maamuzi,
Can you please share maamuzi ya Baraza Kuu?. Kiukweli sisi wengine utafikiri hatuko Duniani!.
P
 
Chadema ilisha malizana na haiwatambui ,Hawa Covid 19 ni wa Mwendazake,Ndugai na Tulia.ilikuwa gia ya kugombea msaada kwa wafadhili.
 
Hawa watoke tu kwani dharau waliyoinesha kwa cdm kama taasisi haivumiliki sana sana bwana yule aliyekuwa mwenyekiti wa bawacha .Hao covid 19 wafurushwe kwa hook or crook
Msiwalaumu Covid 19 wala msiwalaumu viongozi wa chadema.
Amri ya SIMBA WA YUDA ilikuwa ni hatari usipotii.
Tudai katiba itakayoondoa kinga zinazolinda ujinga uliofanywa na mtu mmoja halafu vyama A na B vinasomeka vibaya kwa wananchi.
 
Usiwe na haraka Sana. Wanaweza kusamehewa na kurudishwa kundini.
Baraza kuu limeshaamua wametimuliwa kabisa. Hata kama likiwasamehe lazima waanze upya kwakuwa utaratibu haukufuatwa
 

Wasaliti waliitwa na tume ya uchaguzi
Chadema waipeleke mahakamani tume ya uchaguzi ambayo ndio iliita wale covid kwenda Bungeni
 
A big NO.
 
Naunga mkono hoja
 
Wasaliti waliitwa na tume ya uchaguzi
Chadema waipeleke mahakamani tume ya uchaguzi ambayo ndio iliita wale covid kwenda Bungeni

..Dpp na takukuru ndio wanaopaswa kuwapeleka mahakamani waliogushi na kuwaapisha Halima na wenzake.

..Hapa kuna makosa ya jinai, rushwa, na matumizi mabaya ya madaraka, na mwenye jukumu la kuchunguza na kushtaki ni serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…