CHADEMA sasa wajuta


Umeingia lini kwenye payroll ya Nepi?
 
Ni kazi kwelikweli. Magamba vs CDM! Vyama vingine havipo?
 
kwani kikiwa cha kidini na tukapata mambo yanayositahili kupewa mwanadamu kuna tatizo gani?????kwani kuna shida gani na dini??ili mradi dini hiyo haiingilii uhuru wa mtu.Hilo la chadema ni chama cha kidini halina mashiko leta hoja nyingine.

walianza na ukabila wakakosa mashiko bila research wameshika udini bila ajizi huu ni mwaka wao moto wanao hata kama wametumwa hawaponi
 
Mimi siyo mfuasi wa CDM lakini hapo sijakuelewa kabisa.......unaweza kujaribu kuelezea kwa ufasaha hata sisi wenye uelewa wa chini tukuelewe tafadhali ???
 

walianza na ukabila wakakosa mashiko bila research wameshika udini bila ajizi huu ni mwaka wao moto wanao hata kama wametumwa hawaponi
Natabiri huko mbele watasema ni chama cha mabepari (matajiri) :music:
 
Umetoa maelezo kama vile hayajitoshelezi hivi,ungeeleza kitu gani kinachofanya CDM kianze kujuta,kikao gani kilifanyika,lini,na kitu gani kilichojadiliwa kwenye hicho kikao,ebu jaribu kuleta kitu kamili na siyo kuipapasa tu juujuu.


Sikuhitajika kutoa maelezo mengi sana kwani mada hii ilikuwa imegusiwa na sokomoko kwa undani zaidi.lakini ni kwamba, hivi karibuni Rais wa zamani wa ujerumani Dr.Horst Kohler aliitembelea TZ ambapo alifanya mazungumoz na viongozi wa juu wa CDM.Katika mazumzo yao Rais huo alihitaji kuimarisha mahusiano zaidi ya chama chake ambacho ni christian Democratic Union (CDU) na CDM.

Sasa kujuta kwa CDM kunakuja pale viongozi wake walipoteleza kutoa siri za kikao hicho cha faragha kama alivyosikika Mbowe ambapo siri hizo zinaonekana kuwanawisha uso vijana wa CDM na kuwamini kile kinachosema kuwa ni udini wa CHADEMA na hatimaye anguko kubwa kutarajiwa maana mdomo wa ukweli umeshinda kama ilivyozoeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…