CHADEMA sasa wajuta

Mujahedeen wa Tanzania!ndiyo maana vitoto vinafundishwa karate kwenye baadhi ya madrassa!! Hii kitu inaelekea ina baraka kutoka kwa mkulu mwenyewe ndiyo maana jamaa hata hawadhibitiwi!
Haya maneno ndio yanazidi kuwagawa Watanzania, kama huyu member yeye akili yake inamtuma CDM ni chama cha Wakiristu na CCM ni chama cha Waislam.
 
wanaosema cdm ni chama cha kidini hawana ukweli wa kusimamia na wamepandikiziwa na kama ccm ikiendelea kutawala hali itakuwa mbaya zaidi kwao kuliko wale wanoung mkono cdm
 

Pointless
 
mpumbavu mjinga we ndo umejuta kwani unaijua cdm . kuzi we chunga, hatidanganyiki au we nape?
 
hata kafu tuliambiwa kuwa ni chama cha kidini. usenge huu. tulishauzoea. kila anayepingana na CCM ni mdini. mafala nyie. you'll never stop us.

Avatar ya heshima lakini post ya kihuni. Malezi yako yakoje?
 
msiumize vichwa bwana
Join Date : 13th June 2011
Posts : 15
Thanks0Thanked 1 Time in 1 Post

Rep Power : 0
[h=2][/h]
 
mkitakaka tuchague viongozi kwa kuangalia dini basi CCM haita shinda milele na jk asingepata uraisi acheni hizo,angalia safu ya uongozi serikalini saizi jk anayoyafanya,mnataka muendelee kudhulumu watu kwa kigezo kwamba CDM ya kidini tumesha wazoea kwa siasa za fitina mmekwishaaaaaaaaaaaaaa
 

Wana Magamba wanapaswa waisome hii tena. Imetulia!
Ukifuatilia mjadala bungeni; wanawasema CDM kuwa wanajifanya hawaoni maendeleo ambayo chama cha magamba kimeleta halafu wanaanza kulalamika: "Kwa miaka mingi sasa tumeahidiwa kujengewa ...(hiki na kile) lakini mpaka sasa hakuna. Hizo pesa zinazotengwa huwa zinaenda wapi?" ... Halafu mwishoni: "Naunga mkono hoja asilimia 100."
Kazi ya wana magamba ni kujipendekeza ili waendelee kupokea posho.
 
hawawezi kuisoma. Hata wakisoma wanasoma kinyume!. Hawaelewi. Njaa baba!! Na uwezo wetu mdogo wa kupambambanua mambo.
 
Kila anayekula nguruwe, a.k.a kitimoto ni mkatoliki.......kwa msingi huu, viongozi wengi wa CCM ni wakatoliki...
 
Unambwelambwela tu hata unachoeleza hakieleweki jipange upya uje na Hoja ya Msingi.
 
Kwanza umenifurahisha kusema kila chenye mwanzo kina mwisho, sasa kwa taarifa zilizo sahihi mwisho wa magamba umewadia na ndio maana unasikia mapacha watatu wanatarajiwa kufukuzwa kwa bahati mbaya kila mkakati unaofanywa badala ya kukiokoa unakizamisha.
 
Tafadhari sana ndugu udini wako peleka huko kwa wazazi wako,kama umetumwa kawaambie jamaa wamenidharau,
C YA LOOSER.
 
kwani kikiwa cha kidini na tukapata mambo yanayositahili kupewa mwanadamu kuna tatizo gani?????kwani kuna shida gani na dini??ili mradi dini hiyo haiingilii uhuru wa mtu.Hilo la chadema ni chama cha kidini halina mashiko leta hoja nyingine.
 
Wale wanainchi waliopigwa risasi hadi kufa kwenye maandamano Arusha moja alikwa mwisilamu, mwingine ni mkristo na moja ni Mkenya.
Zitto Kabwe kiongozi shubavu ambaye hanunuliki ni mwisilamu. Hapa mjini Arusha waliowapigia kura nyingi CDM ni waislamu wa Unga ltd na Mbauda.
Wanainchi sasa hawapiganii dini kwenye mambo yanayohusu siasa. Hata kama atakuja Gadafi toka LIBYA na akaahidi kubadilisha maisha ya wakristo tutampokea. Kuna wakati Nyerere alimwomba Gadafi amjengee msikiti pale Butiama ili akina Kwawa wakienda kumsalimu waweze kupata pahala pa kusali. Swala la dini ya mtu ni lake yeye mwenyewe na Mungu wake. Hakuna uwakilishi kwenye hukumu.
Isifike pahala tukachanganya dini na siasa baadaye tukaanza kuuana kama ilivyo sasa kwenye inchi za kiislamu kwa sababu walichanganya vitu viwili ambavyo havichanganyiki. Yesu alisema yaliyo ya Kaisari mpe kaisari na yaliyo ya Mungu mpe Mungu ndiyo maana Wakristo na inchi zao wanakaa kwa AMANI.
 

Kwani huyu ameongea kitu gani? Mbona naona anapiga majungu tu na kuelezea hisia zake. Nashangaa hata waliomjib na kuchangia walimuelewa vipi mtu huyu. Nadhan ni wakati watu wajue hatuna muda mbovu wa kusoma thread za watu wapumbavu kama huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…