Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,863
- 93,648
Huwezi kuelewa wwLengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?
I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!
Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
Sikia nafikili wajifanya hu juu, ya KILA kitu ameumba mungu, kufa kupo, Kama mungu alishatamka nitakufa KWa ajili ya haki tena pitia binadam mwenye nyama Kama wewe ipo hivyo , so nitapitia kwako KWa kuniua Kama daraja tu, lakini Kama sio mpango wa mungu kufa pitia kifo Cha namna hiyo wakesha bure,Usilete vitisho eti nisijibu, hii inathibitisha mnafadhili UGAIDI, UHAINI, UTEKAJI, MAUAJI na UKWEPAJI KODI.
Mkazo: Wewe ni mharifu na uharifu huo utakunasa siku sio nyingi, endelea kutishia
Leta tena majibu yako ya kibangi
Sikia nafikili wajifanya hu juu, ya KILA kitu ameumba mungu, kufa kupo, Kama mungu alishatamka nitakufa KWa ajili ya haki tena pitia binadam mwenye nyama Kama wewe ipo hivyo , so nitapitia kwako KWa kuniua Kama daraja tu, lakini Kama sio mpango wa mungu kufa pitia kifo Cha namna hiyo wakesha bure,
Nami nasema , mungu akawe mwanga na aingilie Kati vita hivi, nakufuta popote ulipo, anzia unyayo wako mpaka juu, nakufuta KWa ndugu , jamaa, mpaka familia YAKO , mpaka ukitubu, milango yote ikupayo jeuri, naifunga mpaka utakapo tubu, na kujenga nyumba ya ibada lingana na dhehebu unaamini,
Nasema , na imekua,
Hisia za nini si ulete , vielelezo Mkuu, hoja hujibiwa KWa hoja pitia vielelezo na si vinginevyoMawakili wamewekwa na Chama....
Ni kweli hatupaswi kuandika kwa hisia...nimejaribu kuangalia vielelezo sijaona hata kimoja, au umeviweka kwenye thread number ngapi? kama ulikuwa unamaanisha zile hoja zako kwenye thread number 1, nimezijibu kwa hoja hiyo moja kuwa mikakati yenu huwa haitekelezeki..mfano mwingine ni mpango wa kugomea kufanya miamala ya simu ili kukwamisha zoezi la Tozo, au pia kauli ya Mwenyekiti ilikuwa ni lazima Watanzania wachanjue chanjo ya Corona..mimi nilifikiri chanjo ikiletwa wana CDM ndio watakuwa wa kwanza kuchanja lakini ajabu serikali imetangaza kuwa waliochanja hadi sasa ni 325,000 tu...kwani Chadema hamko zaidi ya hii idadi? maana hii inajumlisha wana CCM na Chadema baadhi, au chadema wote wamechanja?Hisia za nini si ulete , vielelezo Mkuu, hoja hujibiwa KWa hoja pitia vielelezo na si vinginevyo
Sasa angalau twaweza ongea mkuuNi kweli hatupaswi kuandika kwa hisia...nimejaribu kuangalia vielelezo sijaona hata kimoja, au umeviweka kwenye thread number ngapi? kama ulikuwa unamaanisha zile hoja zako kwenye thread number 1, nimezijibu kwa hoja hiyo moja kuwa mikakati yenu huwa haitekelezeki..mfano mwingine ni mpango wa kugomea kufanya miamala ya simu ili kukwamisha zoezi la Tozo, au pia kauli ya Mwenyekiti ilikuwa ni lazima Watanzania wachanjue chanjo ya Corona..mimi nilifikiri chanjo ikiletwa wana CDM ndio watakuwa wa kwanza kuchanja lakini ajabu serikali imetangaza kuwa waliochanja hadi sasa ni 325,000 tu...kwani Chadema hamko zaidi ya hii idadi? maana hii inajumlisha wana CCM na Chadema baadhi, au chadema wote wamechanja?
Kiswahili chenyewe sio cha Tanzania lakini pia inaonesha ni kama umechanganyikiwa akili, hivyo vitisho peleka uchira labda vitafanya kaziSikia nafikili wajifanya hu juu, ya KILA kitu ameumba mungu, kufa kupo, Kama mungu alishatamka nitakufa KWa ajili ya haki tena pitia binadam mwenye nyama Kama wewe ipo hivyo , so nitapitia kwako KWa kuniua Kama daraja tu, lakini Kama sio mpango wa mungu kufa pitia kifo Cha namna hiyo wakesha bure,
Nami nasema , mungu akawe mwanga na aingilie Kati vita hivi, nakufuta popote ulipo, anzia unyayo wako mpaka juu, nakufuta KWa ndugu , jamaa, mpaka familia YAKO , mpaka ukitubu, milango yote ikupayo jeuri, naifunga mpaka utakapo tubu, na kujenga nyumba ya ibada lingana na dhehebu unaamini,
Nasema , na imekua,
Thanks ,Sasa nakuonya ,so what intelligence, haijalishi we nani,but hii ni fani tu ,Kama uonavyo mwanasheria, dr n.k ,acheni ujinga wa kujitukuza , by the way nimekufuta, imetosha tekeleza nilio kwambia full stopKiswahili chenyewe sio cha Tanzania lakini pia inaonesha ni kama umechanganyikiwa akili, hivyo vitisho peleka uchira labda vitafanya kazi
Watu wanataka mkataba huru ambayo ni Katiba mpya ,Jambo ni jema Sana KWa chama chochote kiwapo madarakani ,mnawakamata na kuwapa KESI za ajabu alafu upo tu Kama mtu wa kutoka Rwanda , kesho wanao wanaishi vipi ? au wafikili utaishi mileleThanks ,Sasa nakuonya ,so what intelligence, haijalishi we nani,but hii ni fani tu ,Kama uonavyo mwanasheria, dr n.k ,acheni ujinga wa kujitukuza , by the way nimekufuta, imetosha tekeleza nilio kwambia full stop
Hoja mie si mtazania , ni ya kijinga, sie ni wabantu,Sasa we wajuaje hu MTANZANIA? unamjua Babu mzaa Babu,mzaa Babu YAKO ,na mzaa baba YAKO ? Wapi ametokea au jimwambafii, na kudemka,
Sikia tukisema twautafuta ukabila hakuna MTANZANIA hasa kizazi Cha Sasa ana hati miliki, ni majivuno tu kisa upo pale ulipo,but wote wakimbinzi,
Nimekufuta , na ILISHAKUA ,wakati mwatumia mamlaka ,sie twamtumia yule akufanyae dam YAKO izunguke mwili wako mzima, ukiwa umelala au la ,
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
Wapuuzi wezangu watanisikiliza wale ndugu , sio wapuuzi wa kambo, na hao wanikome Sina urafiki naoNani atakusikiliza wewe?
Haya ni matokeo ya chanjo! Kizazi cha wanao chanja kitakuwa na watoto sampuli hii! Eti akifungwa mmoja waende wafungwe watatu! Akipigwa rungu moja na askari mwezake anaomba apigwe rungu tatu!Kama akili ndio hii,taifa lina hasara kubwa sana
Mkuu kimsingi mimi sikatai kuwa una hoja juu ya matakwa ya Katiba mpya, nilichokuwa natamani unielewe ni kuwa Wananchi " wanachama na mashabiki wa chadema" wamekuwa wagumu sana kufanyia kazi mapendekezo yanaytolewa na viongozi wao, ndio msingi wa kusema mawazo yenu huwa hayatekelezeki. Ukisoma michango ya wanachadema na wananci wengine kule TwitterSasa angalau twaweza ongea mkuu
Binafsi nilikuja na wazo la 1by 3 kwamba mmoja wetu akikamatwa kisa ya katiba mpya basi twende watatu tulale alipo mwenzetu , ila wamwachie mwenzetu ,au tufungwe wote,hii sio kosa kuomba ufungwe tena kwa hiari YAKO mwenyewe, ila tusisingiziwe ujambazi, au UGAIDI, kisa tumeenda wenyewe, na nirishaushi mpango uwe wazi Dunia ijue na wenye nchi wajue
Pili, Sasa KWa hoja Iyo ya kwanza hapo juu ulitaka vielezo gani mkuu, kwamba katiba mpya KWa Sasa sio takwa la nchi na wananchi, na je watu wetu hawakamatwi ovyo kisa makongamano ya katiba? ni swala la kuafikiana tu, hii sio ya chama chochote bali ni KWa faida ya mataifa yote mawili ,ZANZIBAR NA TANGANYIKA, Je hapa Kuna sababu gani tumia police na kuwachosha bure? Kudhalilisha taifa KWa ujinga tu,
Sikia MUNGU anasema KWa Hili la katiba CCM mwakwsha bure ,katiba inakuja na hakuna wa kuzuia,asema BWANA, msijidanganye, na haitaenda msadia SSH Rais ,anajidanganya,na anadanganywa bali inaweza mjenga Sana tena Sana akijiongeza ,I speek with confidence,
Huyu mama nyie wapambe mmemharibia Sana , nae anaona sawa ila ipo siku atakumbuka ,kwani tumeona mangapi kiroho na kutokea? Huwezi jua maana unaamini nguvu kwako ndo KILA kitu, maana unayo mamlaka ebo!!
Sasa nasimama katika nafasi yangu Kama 47 mbatizaji ,na niwashauri , mpangalo au wapangalo haliwezi kuwa, mungu amekataa, mie si mchungaji, Sina kanisa na siku mungu akinipa KIBALI Basi litaitwa kanisa la mbatizaji 47 , japo Sina KIBALI hicho KWa sasa
Unazuiaje watu wanaoangaika tafuta mkataba wa nchi Kama KATIBA YA NCHI alafu ujione upo sawa , siongei mengi but yapo mengi nayaona kiroho , twende tu
Tatizo polisi wetu hawaheshimu haki za raia, watagawa kipigo cha mbwa koko labda na sisi raia tuamue kuwapa kichapo kama hamzaNaenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa
CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi
Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.
Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua
MAPENDEKEZO
Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa
MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP
Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao
MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU
THANKS
No sie tunaenda kulala pale , Basi maana si wanawataka Sana chadema, Sasa tujipele wakitaka kutua sawa ,vinginevyo waache kamata WATU wetu Kisa katibaTatizo polisi wetu hawaheshimu haki za raia, watagawa kipigo cha mbwa koko labda na sisi raia tuamue kuwapa kichapo kama hamza