CHADEMA sasa Tishio GEITA

CHADEMA sasa Tishio GEITA

CHADEMA wanatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa ccm bila huruma........................

Tanzania ya 2015 itakuwa hivi:
View attachment 67825
R.I.P. My dear CCM
attachment.php

Mungi hakika umeipendezesha jioni yangu ya leo, Yes CHADEMAMAN
 
Tulianza na Mungu, hali kadhalika tunaendelea na Mungu, na tutamaliza na Mungu. Amina.
 
Sisi wasukuma wa Geita, Nyarugusu, Kakola, ni CCM tu, nyie CDM kwenu ni Moshi.
 
Ukiangalia kwa makini vidole vimeelekea kaskazini why?

Hata Julius aligomewa na Kaskazini juu ya kumpitisha mbunge wasiotaka,ikabidili akubaliane nao.Sembuse wewe.
 
chadema ni kama moto wa petrol hauzimiki kirahisi sana. Kila la heri makamanda kandamizeni vya ukweli wakuu. Mawazo big up, bananga twende kazi.

Hapana bana huo ni MOTO WA GESI
 
Ukiangalia kwa makini vidole vimeelekea kaskazini why?
huna jipya hilo jeneza umeliona tehetehethethete pole mkuu Ritz kadri siku zinavyokwenda na nguvu zinakuishia kwikwikwikwikwiwki
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
zomba hahahahah karibu huku mkuu
 
Last edited by a moderator:
Time will tell.....
CCM, you cant stop the rain.
Chadema ni kama mvua, inapiga tu hata ukibeba mwavuli

Kamanda sio kama mvua tu bali CDM kupitia M4C ni Kimbunga ambacho kama hakijabomoa nyumba nzima basi hung'oa paa.So na bado wewe tulia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa tumepania kila kijiji tunakuwa kumbakumba bila kulala kuhakikisha wenyeviti wa vijiji nchini Robo tatu watokane na CDM.M4C haina msamaha kwa magamba wala waliofunga ndoa na Magamaba.
 
Pamoja sana Kamanda.
 
Back
Top Bottom