CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

Mungu akulinde sana mkuu , uimara wa cdm umetokana na uongozi imara na kuimarika kwa ujasiri miongoni mwa wananchi , kitu ambacho mtu kama wasira hakukijua kutokana na kupitwa na wakati .

Asante mkuu.Ila kuna watu ndani ya CCM wameshasoma maandishi ukutani.Msekwa kwa kuweweseka aliropoka kuwa CHADEMA sasa hivi ina nguvu kama TANU ya enzi zile.Hayo yalikua ni maneno ya kuona kitu mbele.
 
ha ha ha ha!!! kweli kaka,kila mchaga unae mkuta mikoa mingine lazima awe CDM.

Hili ni moja kati ya makosa makubwa ya kiufundi ambayo CCM ama kwa kupigwa na upofu kama wa Farao ama kwa ujinga wa wanamikakati wao.Kusema kwamba CHADEMA ni chama cha Wachaga ni kusema kwamba Wachaga hawatakiwi CCM. hivyo kila kijana wa kichaga popote alipo duniani anaona kuwa CDM ndio chama salama kwake.Pili kuituhumu CHADEMA kuwa ni chama cha kikanda bali kila mtu kutoka kanda husika ataona CHADEMA inamhusu na kuendelea kusema CHADEMA ni chama cha kikristu ni kuwalazimisha wakristu waone hawatakiwi CCM.Bado propaganda hizo hazijawafanya makabila mengine na dini nyingine wasiipende na kujiunga na CHADEMA.Mfano kwa sasa mmebaki na waislam wa Bakwata kwani waislam makini hamtapata kura zao na hawa hawadanganyiki.Kupandikiza chuki za ukanda,udini na ukabila haijawasaidia kitu mfano halisi ni kuwa CHADEMA ina wabunge wengi wa kuchaguliwa Shinyanga kuliko Kilimanjaro.Mimi ni Msukuma lakini napenda CDM na kwetu Serikali za mitaa CDM imepfanya vizuri.Kwa ujinga wenu tu mmewalazimisha Wachaga,wakristu na watu wa kanda hiyo kujiunga na CDM kwani wanaona ndio chama chao na hawatakiwi CCM.Sasa hivi CDM inapendwa mikoa yote na kila kabila,kila lugha,kila jamii, kila dini,wazee,wanawake,watoto na vijana ndo wenye chama.
 
Chadema chama cha kikabila na ukoo kwa upande huo kweli kiko imara make kama hujatokea mikoa yao uongozi ndani ya chama hupati.

Naomba tukumbushe tundu lisu anatokea ukanda gani. Petet kibatala je?
 
Mainterahamwe wanakosa raha sana kwamba pamoja na kuweka bajeti ya kununua laptop na kuajiri wasaliti wanaolipwa buku 7 kwa siku bado juhudi zao za kuvuruga mijadala, kutukana watu n.k. ili kuliteka jamvi na kulifanya la MACCM hazijafanikiwa.

Tutahakikisha tunapambana nao hapahapa jf kudadeki , hatuwezi kuwaachia ngedere shamba la mahindi .
 
Mainterahamwe wanakosa raha sana kwamba pamoja na kuweka bajeti ya kununua laptop na kuajiri wasaliti wanaolipwa buku 7 kwa siku bado juhudi zao za kuvuruga mijadala, kutukana watu n.k. ili kuliteka jamvi na kulifanya la MACCM hazijafanikiwa.
Hiyo bajeti ya laptop imenivunja mbavu sana !
 
Mainterahamwe wanakosa raha sana kwamba pamoja na kuweka bajeti ya kununua laptop na kuajiri wasaliti wanaolipwa buku 7 kwa siku bado juhudi zao za kuvuruga mijadala, kutukana watu n.k. ili kuliteka jamvi na kulifanya la MACCM hazijafanikiwa.

Wewe ni mchumia tumbo. Mchekesha mfalme
 
Utakuwa taahira wewe wahi Mirembe wakakutibu kabla hujaanza kuokota makopo. Wizi umetokea na Mawaziri wawili wamepoteza kazi, AG pamoja na katibu wa Wizara kuna ripoti nyingine ambayo Serikali hii dhalimu iliyojaa wahuni na wezi inafanya kila iwezalo ili isijadiliwe hadharani, halafu wewe taahira bin Mbulula unasema ni propaganda tu!!! Ni hasara nchi kuwa na Wananchi kama wewe ambao hawajitambui.

Hakuna la maana hapo..propaganda tupu
 
Mkuu tofautisha serikali na chama!
Ulishawahi kuona ccm inaomba omba?
Inamiradi kibao na vitega uchumi kibao
Chadema sinapitiliza mifukoni hakuna hata mradi wa kuchoma mahindi!
Hata posho za wenyekiti wa mikoa hakuna ruzuku yote inaishia makao makuu.

Lakini bado hao wenyekiti wanafanya kazi 100% ni furaha na uzalendo wa kweli.
 
....

.....Tupo Kamanda... tutailinda Chadema usiku na mchana ndani na nje ya mipaka !!!
 
Asante mkuu.Ila kuna watu ndani ya CCM wameshasoma maandishi ukutani.Msekwa kwa kuweweseka aliropoka kuwa CHADEMA sasa hivi ina nguvu kama TANU ya enzi zile.Hayo yalikua ni maneno ya kuona kitu mbele.
nakubaliana na wewe tena siku Msekwa anatoa kauli hiyo alikuwa anafanya mahojiano na mwandishi Matinyi na Mimi nilikuwepo pale Arusha
 
Ogopa sana chama ambacho wananchi ndiyo wanakimiliki wake wakuu -
Ogopa sana chama ambacho wananchi wanajiunga kwa hiari yao, viongozi wanakubali kujitolea hata kwa mali zao binafsi kwa maslahi ya chama
Ogopa sana chama ambacho leo ukichukua form kugombea uongozi huulizwi je wazazi wako walishakuwa makada wa chama?
Ogopa sana chama ambacho falsafa yake ni nguvu ya umma - yaani madaraka yamo mikononi mwa mwananchi wenyewe.

Hii ndiyo CHADEMA - tumaini pekee la Watanzania

Kuna jamaa walitamba eti kwamba CDM ingelikufa kabla ya 2015, sasa tuko Feb na chama kinachanja bunga!!!
 
Back
Top Bottom