CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

Cdm ilianza na shetani itamaliza na shetani ukweli huu utaupata mwezi wa kumi.

Wewe fikiri kwanza kabla yakupost vinginevyo utajiona umepungukiwa na kitu kichwani ndugu,Chadema sio Magorofa wala viwanja vya mipila.Chadema inajivunia watu wanaojitoa tofauti na Ccm inayokulipa kwanza ndio ulopoke huku.Chadema tupo wengi naamini hata viongozi kitaifa hawatujui
 
Chadema ni makini kwa kuteka watu muulize msack majibu anayo lakini siyo chama cha kutumikia watanzania.

Huyu mjinga mwenzio alikubali kutumika akina zitto kupakazia watu kesi za ugaidi, bado nasari novena zangu dhidi ya ccm na wapinzani nyoka walioukuwa tayari kuwapa kesi wenzao.

Cursed ------ always fail in their evil mission.
 
Mkuu unazungumzia mungu yupi aliyeko chadema yani dhambi zote hizi wanazofanya chadema mpaka kumwagia watu tindikali tindikali bado awe nao hapana huyo mungu siyo huyu tunayemjua labda kama wanaye mungu mwingine tengeru.

Wewe kweli ni kinyeo
 
Nadhani mwakani maadhimisho ya miaka 39 Ccm itafanyia mkoa wa pwani,Dodoma au Tanga ili wapate watoto wakucheza gwaride nakujaza uwanja kama Songea kwa sababu mikoa mingine hawawezi kujaribu wataumbuka,ila huenda hawa ndio wamwisho kwavile watakuwa njiani kumfuata KANU wa Kenya
 
Mkuu unazungumzia mungu yupi aliyeko chadema yani dhambi zote hizi wanazofanya chadema mpaka kumwagia watu tindikali tindikali bado awe nao hapana huyo mungu siyo huyu tunayemjua labda kama wanaye mungu mwingine tengeru.

mahakama ipi ili prove thy are guilty?
 
...kaza uzi chadema mpaka tezi dume za maccm zipasuke zoteeee......
 
Mbinu zoote za maccm kuimaliza CDM zimeshindikana.
Labda maccm bado hawajui.Kwasasa mioyo ya watz wengi imeshajua uhuni wao.
NOTE: Muda si mrefu lazima mtatafuta pa kukimbilia.
 
Target ya ilikuwa kuimaliza CHADEMA kabla ya 2012.

Malengo yamekwama, wamekosa muelekeo tena.

Lakini matokeo yamekua kinyume.Sasa hivi ukiisema Chadema vibaya ujiandae kwa mashambulizi.Mfano Nasikia Chenge aliondolewa kwenye mkutano aliokua akiwahutubia wananchi wa bariadi tena wengi wakiwa ni wana CCM pale alipowaambia wasiwasikilize CHADEMA wala wwasikubali kudanganywa.Mkutano ulivunjika na FFU kumshusha Chenge jukwaani baada ya watu kumzomea waziwazi kwa kuisema CHADEMA vibaya.
 
Hakuna chama makini cha upinzani kilichokipitia misukosuko na kuendelea kubaki imara kama CHADEMA

Na misukosuko hiyo ndio imekiimarisha.Kwa sasa INTELIJENSIA ya chadema ni sawa kabisa na ya CUBA.Chadema ina uwezo wa kubaini, kuchunguza na ku kaunta ataki.
 
Akili za kitaahira haziwezi kuchanganua mambo kwa kina, hapa ndio akili zako zilipoishia. Chama cha ukoo na kikabila na bado CUF na NCCR wakaona umuhimu wa kushirikiana na CHADEMA na kuanzisha UKAWA.

Chadema chama cha kikabila na ukoo kwa upande huo kweli kiko imara make kama hujatokea mikoa yao uongozi ndani ya chama hupati.
 
Mungu yupi mkuu? Huyo mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kiwe chama cha upinzani.

usilitumie vibaya jina la bwana mungu wako kumbuka pumzi,afya na nguvu unazotumia leo hii kusema 'MUNGU DHAIFU' kakujalia yeye kwanini usilitje jina lake kwa kumsifu,kumshukuru na kumwabudu mungu aliye kujalia hivyo vyote badala yakulitumia vibaya jina lake?
 
mahakama ipi ili prove thy are guilty?

Mkuu usipoteze muda wako kujibizana na hawa jamaa akina Simiyu Yetu, Laki si Pesa, Msalani, Mjepo,Lizaboni,n.k.Hawa ni project ya Lumumba.Hawa wameondolewa akili kwa makusudi kwa kazi maalumu, kutetea ujinga wote wa CCM.Akili za hawa jamaa zote wamekabidhi kwa Nape,kwa mtindo kama wa kuingia kwenye chumba cha mtihani unaacha simu na begi na vitu vingine mlangoni utachukua baada ya mtihani.Sasa hawa wameacha akili na kibaya zaidi akili zao zote Nape na Kinana wameziweka kwenye mfuko mmoja mkubwa wa Rambo zimevunda, hata wakirudishiwa ni Useless.ni project hawa.Hebu fikiria mtu anakuambia unaibiwa unamkasirikia na kumchukia,mtu anawatetea wezi wa EPA, RICHMOND, ESCROWS n.k. kwa nguvu kubwa tena bila kumfahamu hata kwa sura anaemtetea.Hawa ni watu kweli au robots.
 
Ni chama kikubwa kwa sasa tena kilichokua kwa viwango vya kukua.Ni chama kulichosaidiwa na CCM kuwa imara kwa ujinga tu wa CCM. CCM ilifanikiwa kutumia mbinu za kishenzi kuviua au kuvidhoofisha vyama vingine vilivyokua na nguvu na ikafanikiwa.

Lakini CCM kwa mbinu hizohizo za hovyo imegonga mwamba kwa Chama makini CHADEMA. Matokeo yake sasa CCM baada ya kushindwa kuiua CHADEMA sasa inajiua,imejnyonga yenyewe.

Nilikua nasubiri kwa hofu kifo cha CHADEMA 2013, 2014 CHADEMA iko hai. Kizuri zaidi kwangu na wengi wetu CHADEMA imeimarika na kukua mara dufu na hii ndio ikiwa ni mbaya kwa CCM. Sasa hivi CHADEMA ilipofikia hata Mbowe na Slaa waking'atuka CHADEMA itasonga mbele.Na jambo la kushangaza CHADEMA inapiganiwa, inatetewa na kujengwa na watu isiowafahamu na wala sio waajiliwa wala sio viongozi wake.

Mimi binafsi ni mmoja wa voluntier ninaeipigania kwa akili na nguvu zangu zote pia nimegundua kuna watu wengi wanaipigania CHADEMA kwa hiari zao na kwa siri kubwa. Mbinu chafu zimeshindwa sasa CHADEMA jipangeni kwa hila za kuandiiisha wapiga oura na kuzuia wizi wa kura 2015 ndo hii.

Mkuu huyu kiongozi aliitabilia cdm kufa kabla ya 2013
 
Akili za kitaahira haziwezi kuchanganua mambo kwa kina, hapa ndio akili zako zilipoishia. Chama cha ukoo na kikabila na bado CUF na NCCR wakaona umuhimu wa kushirikiana na CHADEMA na kuanzisha UKAWA.


MKUU BAK.Nafuatilia sana post zako humu JF.Ufahamu wako na uchambuzi wako uko juu sana.kinachonisikisha ni jinsi unavyopoteza muda,hekima na busara kulielewesha robot lililokaririlishwa hoja moja tu kwa miaka 10.ya ukabila na udini ambaya imefeli.BAK naomba tumia muda wako hata kwa sentensi moja kutupa elimu ambayo wewe ni mtoaji mzuri sana.Imethibitika kuwa Simiyu Yetu, Laki si pesa hawa sio binadamu ni robots zimerekodiwa maneno fulani ili kupambana na hoja motomoto za wana CHADEMA kama wewe.fuatilia coments zao huwa zinajirudiarudi.Leo anatoa koment hii kesho ile keshokutwa ile mtondogoo ile halafu anakuja kurudia tena aliotoa siku ya kwanza.yaani tunabishana ya robot inayotumia CD.
 
Back
Top Bottom