kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Chadema ni chama cha kupiga ruzuku
Ni chama ambacho hakina malengo endelevu.
Hakina mradi wowote zaidi ya kutegemea ruzuku na misaada kutoka kwa wafadhiri.
Ni chama ambacho kimepanga toka 1992 mpaka leo licha ya kuwa na wabunge 49 lakini viongozi wake wanamajumba Dubai na Ulaya.
Kwahiyo kama hivyo ndivyo nini maoni yako??