chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Funga domo kabla sijakutegea sumu we panyabuku.we ni lemaaaan na ushapiga ganja
Funga domo kabla sijakutegea sumu we panyabuku.we ni lemaaaan na ushapiga ganja
Wewe kinachokusumbua ni upumbavu ccm imekufilisi rasilimali na akili.utoto unakusumbua tu
Ukipenda chongo utaliita/utaliona ni kengeza tu!first ni chama ambacho kimefanya wananchi kujua haki zao zao nakuamasisha upigaji kura. mfano ni tuzo aliyopata Dr slaa uchaguzi wa mwaka 2010.
Second. Kimekuwa chama kinacho tetea maslai ya wananchi wake. mfano ni pale kinapokataa kupitisha miswada inayoonekana haitakuwa na manufaa kwa wananchi.mfano nipale wanapo piga kelele na kukataa kutoka bungeni adi bunge linahairishwa.
third.Kimefichua mafisadi wengi nchini waliokuwa wanakula hela za wananchi kwa manufaa yao binafsi mfano hii ilipelekea mawaziri kujiuzulu nawengine kupelekwa mahakamani na kufungwa.
Fourth. ni chama pekee chenye uwezo wa kuchukua maamuzi magumu kwa mwanachama mwenye person interest bila uonevu wa aina yeyote. mfano nikuvuliwa uwanachama kwa Zito Kabwe.
five.uongozi ulioimara nasera thabiti hii husababisha wabunge vilaza kuondoka kama john Shibuda na Said Arfi na majembe kuingia kuja kuungana na wachapakazi wenzao kama James lembeli na Ester Bulayo.
BIG UP CHADEMA I WILL NEVER LEAVE ALONE FOREVER TOGETHER.
Mmmhhhhh, haya wabunge Wa chadema wanaakili nyingi kuliko Wa ccm, je hawa waliokiwa ccm wanaohamia chadema nao vipi?
....Hakuna chama makini cha upinzani kilichokipitia misukosuko na kuendelea kubaki imara kama CHADEMA
....Mungu yupi mkuu? Huyo mungu atakuwa dhaifu sana amekubali Chadema kiwe chama cha upinzani.
....Ni chama kikubwa kwa sasa tena kilichokua kwa viwango vya kukua.Ni chama kulichosaidiwa na CCM kuwa imara kwa ujinga tu wa CCM. CCM ilifanikiwa kutumia mbinu za kishenzi kuviua au kuvidhoofisha vyama vingine vilivyokua na nguvu na ikafanikiwa.
Lakini CCM kwa mbinu hizohizo za hovyo imegonga mwamba kwa Chama makini CHADEMA. Matokeo yake sasa CCM baada ya kushindwa kuiua CHADEMA sasa inajiua,imejnyonga yenyewe.
Nilikua nasubiri kwa hofu kifo cha CHADEMA 2013, 2014 CHADEMA iko hai. Kizuri zaidi kwangu na wengi wetu CHADEMA imeimarika na kukua mara dufu na hii ndio ikiwa ni mbaya kwa CCM. Sasa hivi CHADEMA ilipofikia hata Mbowe na Slaa waking'atuka CHADEMA itasonga mbele.Na jambo la kushangaza CHADEMA inapiganiwa, inatetewa na kujengwa na watu isiowafahamu na wala sio waajiliwa wala sio viongozi wake.
Mimi binafsi ni mmoja wa voluntier ninaeipigania kwa akili na nguvu zangu zote pia nimegundua kuna watu wengi wanaipigania CHADEMA kwa hiari zao na kwa siri kubwa. Mbinu chafu zimeshindwa sasa CHADEMA jipangeni kwa hila za kuandiiisha wapiga oura na kuzuia wizi wa kura 2015 ndo hii.
Maccm msiogope; Alituhakikishia kwa uhakika mno yule aliyetoroka kule zoo kuwa 2012 Pasaka haipiti kabla Chadema hakijafa na kufutika kwenye kumbukumbu za vyama Tz.
Nadhani he is right. Labda kule zoo wao huhesabu miaka tofauti na sisi. Kikwetu, huu 2015 mwaka wa uchaguzi na Chadema kinawanyima usingizi hao majifisadi na wale woote wanao waungu mkono ka nyiye. Tulieni, hiyo ni rasha rasha tu, masika not yet.
Mkuu pamoja na kuwa hawa Buku 7 wanaudhi na kukera sana, walimwaga makusudi hapa kuja kuvuruga mijadala muhimu kutukana watu na kuandika uzushi wa kila aina dhidi ya CHADEMA na UKAWA. MACCM waliona hili jamvi linakuwa ni tishio kubwa kwao, na ndio sababu ya kuwapa ajira hawa buku 7 ili waandike pumba zao 24/7.
Tukiwaachia hawa waandike uzushi wao wa kila aina basi uzushi wao unaweza kukubalika na kuonekana ni ukweli Mkuu. Hivyo wengi pamoja na kuwa hatupendi kujibizana nao lakini wakati mwingine inakuwa hakuna jinsi au vinginevyo wangeshaliteka hili jamvi na kulifanya la Mainterahamwe lakini juhudi zao hizo mpaka sasa hivi zimegonga ukuta.
Yaani huu uzi uligonga penyewe, Chadema ni chama watu wana mahaba nacho, hadi leo, ukisimamisha bendera tu sehemu au barabarani utaona watu wanajaa bila hata kuitwa.Ni chama kikubwa kwa sasa tena kilichokua kwa viwango vya kukua.Ni chama kulichosaidiwa na CCM kuwa imara kwa ujinga tu wa CCM. CCM ilifanikiwa kutumia mbinu za kishenzi kuviua au kuvidhoofisha vyama vingine vilivyokua na nguvu na ikafanikiwa.
Lakini CCM kwa mbinu hizohizo za hovyo imegonga mwamba kwa Chama makini CHADEMA. Matokeo yake sasa CCM baada ya kushindwa kuiua CHADEMA sasa inajiua,imejnyonga yenyewe.
Nilikua nasubiri kwa hofu kifo cha CHADEMA 2013, 2014 CHADEMA iko hai. Kizuri zaidi kwangu na wengi wetu CHADEMA imeimarika na kukua mara dufu na hii ndio ikiwa ni mbaya kwa CCM. Sasa hivi CHADEMA ilipofikia hata Mbowe na Slaa waking'atuka CHADEMA itasonga mbele.Na jambo la kushangaza CHADEMA inapiganiwa, inatetewa na kujengwa na watu isiowafahamu na wala sio waajiliwa wala sio viongozi wake.
Mimi binafsi ni mmoja wa voluntier ninaeipigania kwa akili na nguvu zangu zote pia nimegundua kuna watu wengi wanaipigania CHADEMA kwa hiari zao na kwa siri kubwa. Mbinu chafu zimeshindwa sasa CHADEMA jipangeni kwa hila za kuandiiisha wapiga oura na kuzuia wizi wa kura 2015 ndo hii.
.....Target ya ilikuwa kuimaliza CHADEMA kabla ya 2012.
Malengo yamekwama, wamekosa muelekeo tena.
.....Yaani huu uzi uligonga penyewe, Chadema ni chama watu wana mahaba nacho, hadi leo, ukisimamisha bendera tu sehemu au barabarani utaona watu wanajaa bila hata kuitwa.