CHADEMA Sasa Kuongoza Halmashauri zote zilizo chini yake kutumia ilani yake

Kitu ambacho hakiwezekani lakini nyumbu wanakiunga mkono.
Nyumbu mtaacha lini urofa Mbowe na elimu yake ya hapa na pale hajui kitu anawaongopea lakini mnakubali.
 
Ni mambo yasiyowezekana. Fedha zinatolewa kwa kuzingatia Ilani ya Chama Tawala. Labda watoe mifukoni mwao! Naona ni kwa kiwango gani hiki Chama kisivyoelewa uendeshaji wa Nchi
Hawajielewi chukulia jiji kama dar unakuta meya chadema naibu meya Cuf hivi hapo utatumia ilani ya Cuf au chadema kuendesha halmashauri?
 
Ipo kwenye tovuti ya CHADEMA, nenda kaisome.
Ndicho alichotamka lowasa siku ya kwanza ya kampeni kuwa anayetaka kujua ilani aende kwenye tovuti kuanzia hapo hakuinadi tena akawa ananadi muungano wa kitapeli wa Ukawa ambao haukuwa na ilani hata moja iliyoandikwa popote zaidi ya kulaghai watu wachague Ukawa usiokuwa na ilani.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama
Hivi meya wa jiji yupo mkuu,huyu jamaa na katibu was sasa chama sioni kabisa kazi yao...
 
Parking system kupewa wakenya na ushuru wa parking kuongezeka sikujua kama ni ilani ya chadema nashukuru umetuelewesha nani mhusika
 
Safi Sana Chadema! Ilani ya Chama kilichoishiwa pumzi ( kwa mujibu wa Mzee Kingunge ) haiwezi kuleta mabadiliko chanya. Ni vyema mkatumie ilani yenu kutuletea maendeleo kwa halmashauri ambazo tuliwaamini na kuwachagua. Hii italeta changamoto kwa halmashauri nyingine kuwakataa ccm mwaka 2020
 
Back
Top Bottom