paliemba
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 445
- 212
hela ni zetu wenyewe mbona kila siku tunalipa kodi unafikiri ni zanani? kuwà na akiliWana hela co?
hela ni zetu wenyewe mbona kila siku tunalipa kodi unafikiri ni zanani? kuwà na akiliWana hela co?
Umbumbu wako tu kufatilia sisi tulikuwa nazo kibao..Ilani ya Chadema siijui na sijawahi kuiona wala kuisikia popote maana hata kipindi cha uchaguzi walikuwa wakinadi kuwa watu wachague Ukawa aliyewahi ona ilani ya Ukawa atuwekee hapa.Ukawa waliendesha kampeni za Ukawa bila kuwa na ilani yaani matapeli wa kutupwa
Mkuu usimkosee heshima kwa kumuita tu mh. makonda. Uwe unaandika Mungu Makonda.mimi nasubiri huo utekelezaji hasa DSM ambako meya wa hili jiji amepotelea sijui wapi mungu wangu....na sijui watatimiza vipi hiyo ilani chini ya mhe.makonda..
Hakuna jipya nasubiri yale yale tuuu siwaamini kabisa hawa jamaa.Wanashinda rose garden tuChama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama
Acha ujinga kuna kazi za serikali kuu na za jimbo kama ni hivyo unavyotaka basi kwenye uchaguzi wapinzani wasingepewa ruhusa ya kutengeneza ilani ya jimbo na kunadi sera zaoHapa kuna haja ya Elimu kutoka Tume ya uchaguzi. Hii sio Serikali ya majimbo.
Hizi bangi za kuvutia chooni unatakiwa uziache kasome sheria ya tume ya uchaguzi ipo wazi kuwa ilani inayotekelezwa ni ile ya chama kilichoshinda.Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama
wamekoswa swaga ngoma ya kucheza hawana, wajetuicheze segerereeepole sana sasa kinakuwewesesha nini tulia tuje na Ilani yetu
Ongezea:-Mbowe na Mzee wa Upako wanafanana aina ya Wafuasi walionao.
Mtendaji Mkuu wa Halmashauri ni Mkurugenzi wa Halmashauri ambae kateuliwa na Rais na kakabidhiwa Ilani ya CCM na Mafungu yote yanapita kwake Kazi ya Baraza la Madiwani ni kuidhinisha Bajeti si Malipo
Sumaye na Kingunge ndio walimu wao, walisema wanaenda huko kuwafundisha namna ya kuendesha serikali.Ni mambo yasiyowezekana. Fedha zinatolewa kwa kuzingatia Ilani ya Chama Tawala. Labda watoe mifukoni mwao! Naona ni kwa kiwango gani hiki Chama kisivyoelewa uendeshaji wa Nchi
unalipa sh ngapi?hela ni zetu wenyewe mbona kila siku tunalipa kodi unafikiri ni zanani? kuwà na akili
tulia unyolewe.Kwani halmshauri ni nini?Hapa kuna haja ya Elimu kutoka Tume ya uchaguzi. Hii sio Serikali ya majimbo.
Upinzani na CCM wote mnazingua, kwa mfano hii ni akili gani.Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama