Hata kama si mwanachama wa chama chochote, michango yako humu ni mipasho tu, huna la maana sasa unalozungumzia kwenye kupinga. Upo tu kama mzomeaji mpiga makelele basi.
Ona sasa kama haya uliyoandika hapa, yanasaidia nini kwa yeyote anayekusoma.Wewe ni sawa na wale makasuku wa mjengoni
Ona sasa kama haya uliyoandika hapa, yanasaidia nini kwa yeyote anayekusoma.
Usidhani ninakuonea, rudi nyuma tangu ulipojiunga na jukwaa hili la JF, michango yako yote ni ya aina hii hii!
Kama hii. Michango yote. Wewe ni 'robot'?Pole sana maana huo ndiyo ukomo wa akili yako ya kafundishwa na chakubanga
Wahi ukachukue buku 7 lumumba chumba namba 3
Mkuu nipo tayari kutoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya chama katika mji wa Katesh wilayani Hanang na wapo watu wengi walio tayari kuchangia ujenzi tatizo tuna viongozi wasio na vision wilayaWakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Wanaoifahamu Musoma maeneo ya Nyasho watakupa jibu zuri. Huyu mzushi aliwahi kuja humu na basi la chadema toka Ubelgiji, sijui kama limeshatua Ufipa.Mbona bati ni la kijani?
Hiyo ni ofisi au nyumba ya kuishi? Mbona hajakaa kama ofisi?Wakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.View attachment 1084228View attachment 1084229
Mkuu nipo tayari kutoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya chama katika mji wa Katesh wilayani Hanang na wapo watu wengi walio tayari kuchangia ujenzi tatizo tuna viongozi wasio na vision wilaya