CHADEMA sasa kumekucha

Nimeona picha ya jengo la CHADEMA.Choo cha stand ya Korogwe ni kizuri kuliko hili jengo.
 
Mtakuwa mmekodi tu hizo nyumba huoni hata rangi zenyewe. Uwezo wa kujenga ofisi hakuna.
Kama Dsm Chama kinakodi ofisi iweje Musoma mjini ofisi ijengwe huko au makao makuu yako Musoma? Tungejua pia na plot number tukaenda kuangalia Ardhi tutoe pongezi.
 
Mbon Kama napafaham apo ni nyakato kwa sanane na ilo jengo lilikuwa ni gest house na ni mali ya ndug yake na doctor mmoja apo mtaani anaitwa doctor simba opposite na hiyo gest kuna frem zake za maduka Tena mwenye hiyo Nyumb ni mjaruo hope anaitwa Nyakiboya
 
Kama Dsm Chama kinakodi ofisi iweje Musoma mjini ofisi ijengwe huko au makao makuu yako Musoma? Tungejua pia na plot number tukaenda kuangalia Ardhi tutoe pongezi.
Mkuu apo napafaham vizr iyo Nyumb ad mmiliki wake maana kutoka apo iyo Nyumb Ilipo kwenda kwet unapita Nyumb 3 tu Nyumb inayofat ndo nyumbn
 
hawakawii kusema mmejenga kwenye bomba la Petrol
 
Hiyo nyumba ni nzee imepakwa rangi, hata bati zimezeeka ssa nyumba mpya ndo hiyo?
 
Wee jamaa una mambo unajuwaje kama imenunuliwa ikiwa hivyo hivyo?
Hiyo nyumba ni nzee imepakwa rangi, hata bati zimezeeka ssa nyumba mpya ndo hiyo?
 
Ofisi peke yake hazitoshi pasipo maandamano! na hiko ndiko tunasubr wanachama kwa muda sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…