Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Wakati kuna watu wanajidanganya kuwa cdm inakufa sisi ndiyo kwanza tunazidi kujiimarisha kwa kuanza sasa kuimarisha na kunenga ofisi zetu za majimbo ili kujikita zaidi kwenye ngazi zote kiutawala
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.
Hizo ofisi zipo musoma mjini na ni mali ya chama.