CHADEMA sasa chali

CHADEMA sasa chali

Chagadema bye bye

Chadema wamekwisha hata kifikra na kimikakati, think tank yao haina ubunifu sasa hivi wanagawa bendera kutwa kucha kwa waendesha bodaboda na kuwalipa pombe na hela ili watengeneze video fupifupi za kuzomea ambazo hazitapiga kura! HAPA KAZI TU.
 
kwani CHADEMA ina wanachama wangapi? maana kila kukicha maelfu wana hama hii ina maana hadi sasa mtakuwa mmevuna zaidi ya wanachama 500000.

Acheni uongo wa kitoto nyie magamba!
 
Hawana jipy,kwa sasa wanatafuta kiki tu,kama vile kufagia barabara nk!!
 
mh EL akiwasili Mara
 

Attachments

  • 1444563199072.jpg
    1444563199072.jpg
    94.3 KB · Views: 94
Inashangaza umekuwa mtabiri wa kushindwa kutabiri kifo cha ccm.
 

Attachments

  • IMG-20151008-WA0178.jpg
    IMG-20151008-WA0178.jpg
    71.8 KB · Views: 155
Watu 2000 hawawezi kuhamia chooni acha viroba wewe mwongo mkubwa we,ccm imeoza hatuwez kimbilia huko
 
Kuna kila dalili za CHADEMA kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia CCM chukulia mfano ile ya Nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, Mtwara 1900, Geita zaidi ya 3000 nk.

Bado few days to go.....
Msipate hofu.
 
kuna kila dalili za chadema kupoteana wenyewe kwa wenyewe, majimboni hali ni ngumu kwa wagombea, zomeazomea nayo imeshika kasi, maelfu ya wanachama wake wakimbilia ccm chukulia mfano ile ya nyamagana wafuasi zaidi ys 3500, mtwara 1900, geita zaidi ya 3000 nk.
unapajua musoma? Manake inaonekana umekodishwa na uknunuliwa hicho kisimu cha mchina ndo unasumbua watu subiri mb zikate. Mwambieni jk avunje baraza la mawaziri aone moto wake wapo mawaziri kibao wanasubiri goma liishe watorokee kwa kipenzi cha watanzania.lowasaaaaaaa
 
tarehe 25/10 sio mbali wanachadema msije mkafunga akaunti zenu la jueni kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi!!! Jadili hoja na sio kutoa matusi
 
Back
Top Bottom