kitambiheshima
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 452
- 116
hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa joseph fuime na katibu wa jimbo mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo joseph fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba. Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine. Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa fuime na wengine kwa mbogolo. Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa chadema kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama zitto kabwe. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya chadema kimetonya kuwa swala la zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa zitto kabwe. Kundi hilo linaongozwa na fuime
Jamani lichama hili limeshajifia hivi kwanini hamkubali.....!!!!
hali ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Ruvuma kina hali mbaya kufuatia mwenyekiti wake wa mkoa Joseph Fuime na Katibu wa jimbo Mbogolo kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha mgongano ni ubunge 2015 ambapo Joseph Fuime ana mpango wa kugombea nafasi hiyo huku nae mbogolo anaitaka kwa udi na uvumba. Imefikia hatua baadhi ya wanachama wameanza kufungasha virago na kutimkia vyama vingine. Aidha baadhi ya madiwani wamegawanyika ambapo wengine wako upande wa Fuime na wengine kwa mbogolo. Tarehe 28.11.2013 chama hicho kinafanya kikao na moja ya agenda inaedaiwa kuwa itahusu msimamo wa chadema kuhusu kunyang'anywa madaraka ya chama Zitto Kabwe. Chanzo cha taarifa kutoka ndani ya chadema kimetonya kuwa swala la Zitto limeongeza mpasuko ambapo kundi kubwa la viongozi wa wilaya na mkoa liko upande wa Zitto Kabwe. Kundi hilo linaongozwa na Fuime
vijana nao wamegomea mpango wa "chadema msingi". wanasema hawawezi kuendelea na ujenzi wa chama kwa kujitoa hadi kifo wakati kumbe wanaonufaika ni "teamkaskazini"!
Tunashukuru kwa taarifa nzuri hizi kitambiheshima, tunaomba uzidi kufuatilia utupe taarifa kamili.
Kama inawezekana naomba ni-PM no ya sim ya Fuime
vijana nao wamegomea mpango wa "chadema msingi". wanasema hawawezi kuendelea na ujenzi wa chama kwa kujitoa hadi kifo wakati kumbe wanaonufaika ni "teamkaskazini"!
jamaa wanaapa kung'oka na Zitto. Kuna diwani mmoja bangi sana anaitwa Mfamaji huyo ndo amesema hawawezi kukubaliana na ubabe wa Slaa na Mbowe. Kesho ndo wanaweka msimamo.
jamaa wameona Fuime tunamkubali kwa umahili wa kukijenga chama, wameanza kumkashifu mara eti ana sauti ya kike mara mrembo. kiukweli tunamkubali sana Fuime kwani toka mwezi August jamaa anapiga mamikutano wilaya nzima ya Songea. Mboogolo alivyo na wivu hajahuzulia mkutano wa Fuime hata mmoja.
mkuu 6gates unaona jinsi watanzania walivyo majuzi wa siasa feki za ubabe za slaa na mbowe kuminya demokrasia.fuime anajitambua mungu ampe life agombee 2015