Sam Seaborn
Member
- Aug 20, 2011
- 98
- 39
Umeiandika kiusanii ili ionekane kuw hizo sehemu za Pwani ni nyingi sana na hivyo chama hicho hakina sapoti ya wananchi wengi.kwa nini hatusikii maandamano na mwamko wa CHADEMA mikoa ya Pwani? CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI
Pwani inajumuisha:
BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA
Kwa sababu kimaendeleo hawa ndio wako nyuma kuliko eneo lolote lile Tanzania na ingekuwa wepesi zaidi kwa watu wa mikoa hii kuamka na kuanza kulalamika juu ya serikali au tuseme kuwa watu wa PWANI hawana muda na CHADEMA?
Hivi statistically kwenye elections zilizopita CHADEMA ilipata asilimia ngapi Pwani na wilaya zipi ilishinda kwa wingi kati ya hizo hapo juu?
Umeiandika kiusanii ili ionekane kuw hizo sehemu za Pwani ni nyingi sana na hivyo chama hicho hakina sapoti ya wananchi wengi.
Ungesema tu ukanda wa pwani vs hizo kanda nyingine ulizotaja,tatizo umetaja kanda tatu vs "kanda za pwani" ulizozianzisha kama hiyo Bagamoyo nk.
Binafsi sina haja kabisa na hizo stats kwasababu naamini si lazima watu wa Pwani wote waichague CDM ndo waweze kushinda uchaguzi.Hata hivyo siamini kwene kuwapatiliza kama ccm wanavyofanya kwa wale wasioichagua.sidhani kama kakosea
na nadhani alikuwa na maana yake kutaka kujua MIKOA hiyo na si UKANDA angetaka kujua ukanda angeuliza tuuu
hebu leteni stats na supporting data
ili tufanye tathmini
CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI
BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA
VS This...KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI
Je umeweza kuona utofauti?Ama kuelewa nilicho maanisha?Pwani
kwa nini hatusikii maandamano na mwamko wa CHADEMA mikoa ya Pwani? CHADEMA inaonekana iko very active mikoa ya KANDA YA KASKAZINI, ZIWA NA KANDA YA JUU KASKAZINI
Pwani inajumuisha:
BAGAMOYO
KIBAHA VIJIJINI
KIBAHA MJINI
KISARAWE
RUFIJI
MKURANGA
MAFIA
Kwa sababu kimaendeleo hawa ndio wako nyuma kuliko eneo lolote lile Tanzania na ingekuwa wepesi zaidi kwa watu wa mikoa hii kuamka na kuanza kulalamika juu ya serikali au tuseme kuwa watu wa PWANI hawana muda na CHADEMA?
Hivi statistically kwenye elections zilizopita CHADEMA ilipata asilimia ngapi Pwani na wilaya zipi ilishinda kwa wingi kati ya hizo hapo juu?
mkoa wa pwani lindi mtwara tanga wengi wao vichwa ngumu hata uwachemshe na magadi hawalainiki, ila taabu zikiendelea watafunuka............. ccm haitaweza kuwadanganya milele iko siku danganya yao itafika mwisho. ILA WATU WA PWANI FUNGUKENI ACHENI KULALA LALA HAWA CCM WATAWAKAMEROOOOOOOOOOON
CHADEMA huko pwani inakubalika sana na katika kuthibitisha hilo CHADEMA ilipata wabunge wawili huko maeneo ya pwani moja likiwa Ubungo na lingine lilkiwa Kawe. Majimbo hayo mawili yapo ukanda wa pwani ya Tanzania. Pia CHADEMA ilipata madiwani kadhaa pamoja na kutoa upinzani mkali kwa vyama vingine kwenye majimbo ya Kibaha, Segerea, n.k. Kwa ujumla CHADEMA imekuwa ikiongeza idadi ya wanachama kwenye mikoa ya pwani kila mwaka na utakubaliana na mimi kuwa mwaka 2010 ilipata kura nyingi mikoa ya pwani kwa ujumla wake kuliko mwaka 2005. Hiyo ni ishara tosha ya kuonesha kuwa CHAMA hiki makini kinazidi kuimarika huko maeneo ya pwani
Waswahili tu hao tuachane nao ndiyo wanatucheleweshea maendeleo ya nchi hii sawa na wazaramo tu
Inabidi ule kitimoto na mbege ili u-support CHADEMA!!!!!!! Hizo sehemu ulizotaja hawagusi hivyo vitu!!!!