FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Dec 15, 2016 Thread starter #141 iparamasa said: Mtoa mada anasumbuliwa na udini. ..ni mdini sana na ni hatari kwa usalama wa nchi,afuatiliwe Click to expand... Yote hiyo kwa kuwa nimemuuliza Professor Safari? Duh! Tutakuwa hata hatujambi basi!
iparamasa said: Mtoa mada anasumbuliwa na udini. ..ni mdini sana na ni hatari kwa usalama wa nchi,afuatiliwe Click to expand... Yote hiyo kwa kuwa nimemuuliza Professor Safari? Duh! Tutakuwa hata hatujambi basi!
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,934 Dec 15, 2016 #142 FaizaFoxy said: Yote hiyo kwa kuwa nimemuuliza Professor Safari? Duh! Tutakuwa hata hatujambi basi! Click to expand... Chukua kahawa na kashata,nenda kibarazani ukapunge upepo
FaizaFoxy said: Yote hiyo kwa kuwa nimemuuliza Professor Safari? Duh! Tutakuwa hata hatujambi basi! Click to expand... Chukua kahawa na kashata,nenda kibarazani ukapunge upepo
M Mnasihi JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 8,125 Reaction score 7,534 Dec 15, 2016 #143 FaizaFoxy said: Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana. Click to expand... Mme wa mtu huyo! Kamuulizie kwa mkewe. Uchokozi mwingine bwana, kwani jf Ina makazi au hotel za kuhifadhi watu?
FaizaFoxy said: Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana. Click to expand... Mme wa mtu huyo! Kamuulizie kwa mkewe. Uchokozi mwingine bwana, kwani jf Ina makazi au hotel za kuhifadhi watu?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Dec 15, 2016 Thread starter #144 Mnasihi said: Mme wa mtu huyo! Kamuulizie kwa mkewe. Uchokozi mwingine bwana, kwani jf Ina makazi au hotel za kuhifadhi watu? Click to expand... Mbona Ben anaulizwa humu? Hana kwao?
Mnasihi said: Mme wa mtu huyo! Kamuulizie kwa mkewe. Uchokozi mwingine bwana, kwani jf Ina makazi au hotel za kuhifadhi watu? Click to expand... Mbona Ben anaulizwa humu? Hana kwao?
NAHINGA JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 1,019 Reaction score 338 Dec 15, 2016 #145 House of Commons said: Mpigie simu kama unamtaka Click to expand... Nilikuwa na jibu kama lako mkuu
M Mgango JF-Expert Member Joined Oct 27, 2016 Posts 2,341 Reaction score 1,054 Dec 15, 2016 #146 Jibu zuri sana
kwisha kazi JF-Expert Member Joined Oct 4, 2016 Posts 690 Reaction score 321 Dec 15, 2016 #147 Emma. said: FaizaFoxy Wewe punguani nimeishiwa hoja sasa mnaulizia watu humu JF Click to expand... Ila huyo sijui benina ndo wakuuliziwa?!
Emma. said: FaizaFoxy Wewe punguani nimeishiwa hoja sasa mnaulizia watu humu JF Click to expand... Ila huyo sijui benina ndo wakuuliziwa?!
kivava JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 5,772 Reaction score 4,930 Dec 15, 2016 #148 Fika mtaa wa Ally Maua barabara ya pili mkono wa kulia ukitokea Mtogole ulizia utampata nyumbani kwake Mkewe mwalimu faiza foxy,hivyo kama una ujumbe ni pm nitampelekea
Fika mtaa wa Ally Maua barabara ya pili mkono wa kulia ukitokea Mtogole ulizia utampata nyumbani kwake Mkewe mwalimu faiza foxy,hivyo kama una ujumbe ni pm nitampelekea
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 Jul 18, 2023 #149 FaizaFoxy said: Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana. Click to expand... Halafu mada ya zamani, alikuepo wewe ulipotoroka
FaizaFoxy said: Hilo ni swali ambalo nimejiuliza sipati jibu. Nimeona niwaulize wenyewe labda mtakuja na jibu la maana. Click to expand... Halafu mada ya zamani, alikuepo wewe ulipotoroka