haina haja kuwekeza nguvu zanzibar muungano upo ICU haufiki 2015 kuna haja gani kupoteza muda na resources? hizo nguvu zielekezwe mtwara, lindi, ruvuma, pwani, tabora, dodoma, tanga!
Hujui siasa wala geografia. Nyamaza kimya.Chadema ni chama cha Kaskazini.
chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa
Kura zenyewe laki1 raisi anashinda, yani kura za lema arusha na za raisi wa zanzibar hazina tofauti,. Hatutofanya ujinga huo wa kuwafata hao walibelali,. Tumewachia kafu na maccm yakwaluzane huko,.
Unadhani huo ujinga wao wakifika zanzibar wataufanya??wazanzibar hawataki upuuzi tena,wala hawana taim tena ya kujadili vyama waliyowapata yanatosha,walitiwa chokochoko weeee wakauana saivi wamegutuka hawana taimu na ujinga,km hawajitaki waende waone km hawatarejea na makoti mkononi,hongereni wazanzibar.
CUF ni maliberali au hilo unaonaje mkuu
Haa Mtwara na Lindi hatuna haja na Chadema hao ni watu wa kaskazini na katika sera hao ni hatari zaidi kwa Kusini kuliko nyang'au CCM. Chadema inaombwe la uongozi, busara, na akili za kawaida za kufikiri. Huko Kusini tuachie wenyewe hatutaki kuvurugwa na nyani wasioona kundule.
kaskazini ipi, unguja?pemba, kasakzini mbeya, kasakzini ya ziwa tanganyika?kaskazini ya mkoa wa mwanza?Umeshakuwa tape km zile za jamaa wanaouza sumu za panya,wanaecord na kuziacha zikijrudiarudia.Chadema ni chama cha Kaskazini.
umesahau, wanarumu,wa uru, warombo, wa old moshi, waki lema.wakirua, halafu uende Arusha, halafu ende mwanza, halafu ende mbeya, halafu uende iringa, halfu uende kigoma,......ukimaliza RIP.chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa
CDM kije zanzibar ili iweje? Ah jamani mbona mnavituko nyinyi? Kwanza tunawashukuru CDM kuwafumbua watu macho kuwa CUF ni miongoni mwa wanaosapoti ushoga, lakini bila kusahau kuwa na wao CDM kuwa ni supporter wakubwa wa Ushoga tena pia wanajanga jengine la udini (makatoliki). Bora tubakie kuitwa magaidi, boko haram, boko halali, materrorist kuliko kuja kutawaliwa na Makhanit.hi ya CUF na CDM na mikatoliki!!! Kaeni uko uko kwenu Tanganyika mgeuzane maliberali na macameron!

zanzibar vijana wote wajanja wan aconnection na Bara..na wanatrack sana movements za CDM.wengine wamebidi kuigiza.Nadhani ombi langu linafanyiwa kazi kuna mdau mmoja nimemuuliza kasema hiyo inawezekana kabisa tena wanampango huo. Yeye ni CDM yuko znz na nimzenji
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Chadema ni chama cha Kaskazini.
Mkuu Mbona Povu na Mkia Juu!!!
Ina Maana hata Jussa Mtamfuzilia Bara, Na Maalim Seif je???
Hawa si Waliberali wenzenu jaman