CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

Kwanza wazanzibar hawana haja na chama chengine kule,na kwa sasa hawatarejea waloyafanya miaka ya 2000,na wanajua wazi kuwa CHADEMA ni chama cha fujo,udini na ukabila,htbukikataa ukweli ndio huo,kwa hiyo hawana haja tena na ugomvi maana wazanzibar ni wakomavu wa siasa kwa sasa,wacha tu chadema iishie hukuhuku kaskazini.
 
haina haja kuwekeza nguvu zanzibar muungano upo ICU haufiki 2015 kuna haja gani kupoteza muda na resources? hizo nguvu zielekezwe mtwara, lindi, ruvuma, pwani, tabora, dodoma, tanga!

Haa Mtwara na Lindi hatuna haja na CHADEMA hao ni watu wa kaskazini na katika sera hao ni hatari zaidi kwa Kusini kuliko nyang'au CCM. CHADEMA inaombwe la uongozi, busara, na akili za kawaida za kufikiri. Huko Kusini tuachie wenyewe hatutaki kuvurugwa na nyani wasioona kundule.
 
Kura zenyewe laki1 raisi anashinda, yani kura za lema arusha na za raisi wa zanzibar hazina tofauti,. Hatutofanya ujinga huo wa kuwafata hao walibelali,. Tumewachia kafu na maccm yakwaluzane huko,.
 
chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa

Mliberali unachonga hujui maana ya unayoyasema. Ni haki CDM iende zenji maana wanaojiita ngangari si ngangari tena, hawajui hata imani za chama CHAO. Aibu kwa CUF na uliberali wao bila wao kujua kama ni maliberali. Pale bungeni wametukana majibaba na mijimama mizima inaropoka bila kutafakari itikadi za chama chao kwanza. ]

Hii ina maana CUF wabunge wao wote wanaingia tu CUF hawajui hata itikadi wala misingi ya Chama chao. Wanahangaikia matu,bo yao tu kwa kifupi na si kuwa wana lolote la kufanya katika siasa za cnhi hii kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii.
 
Kura zenyewe laki1 raisi anashinda, yani kura za lema arusha na za raisi wa zanzibar hazina tofauti,. Hatutofanya ujinga huo wa kuwafata hao walibelali,. Tumewachia kafu na maccm yakwaluzane huko,.

Sizitaki mbichi hizi, wakumbukaga kale ka stori ka sungura teh teh teh teh
 
Unadhani huo ujinga wao wakifika zanzibar wataufanya??wazanzibar hawataki upuuzi tena,wala hawana taim tena ya kujadili vyama waliyowapata yanatosha,walitiwa chokochoko weeee wakauana saivi wamegutuka hawana taimu na ujinga,km hawajitaki waende waone km hawatarejea na makoti mkononi,hongereni wazanzibar.

kwa lipi itikadi ya CUf au lipi. Mkuu Wazenji wamedhihirisha walivyo wachovu wa kufikiri. Hiki si ndio chama chao kikuu tena wanadai huwa kinashinda! Naogopa kwenda Znz mimi rijali bana
 
Haa Mtwara na Lindi hatuna haja na Chadema hao ni watu wa kaskazini na katika sera hao ni hatari zaidi kwa Kusini kuliko nyang'au CCM. Chadema inaombwe la uongozi, busara, na akili za kawaida za kufikiri. Huko Kusini tuachie wenyewe hatutaki kuvurugwa na nyani wasioona kundule.

wewe ni wale wa kuhongwa pilau na kofia huna lolote wenzako wamestuka wewe endelea kungojea ubwabwa 2015!!
 
Chadema ni chama cha Kaskazini.
kaskazini ipi, unguja?pemba, kasakzini mbeya, kasakzini ya ziwa tanganyika?kaskazini ya mkoa wa mwanza?Umeshakuwa tape km zile za jamaa wanaouza sumu za panya,wanaecord na kuziacha zikijrudiarudia.
 
kwani US walileta RAP n HIPHOP huku?wenyewe tuu walijio organise na kuanza jenga.So wazenj watajijenga tuu baada ya hii "Heartbreak".Wataomba msaada makao makao makuu .Mbowe kawapa neno la imani na matumaini.
 
Kwa michango hii ya pande zote 3 yaani washabiki wa CDM, CUF na ccm,naona kama haitawezekana kwa viongozi kupeleka hili vuguvugu visiwani, nachokihisi kitatokea ni serikali tatu. Lakini ningependa CDM iongoze Tanzania na si Tanganyika.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
chadema ni chama cha wakibosho wamachame na wamarangu na kanisa
umesahau, wanarumu,wa uru, warombo, wa old moshi, waki lema.wakirua, halafu uende Arusha, halafu ende mwanza, halafu ende mbeya, halafu uende iringa, halfu uende kigoma,......ukimaliza RIP.

Wachaga wakitaka kutawala wana millions of ways na si kupitia siasa.kwanza hofu yako kwao tuu tayari wanapata edge....Kwa ujinga wenu unadhania walipo CCM si wachaga,walipo CUF si wachaga, waliopo NCCR,waliopo TLP,waliopo ktk kila idara ha hat huko usalama wa taifa.
 
CDM kije zanzibar ili iweje? Ah jamani mbona mnavituko nyinyi? Kwanza tunawashukuru CDM kuwafumbua watu macho kuwa CUF ni miongoni mwa wanaosapoti ushoga, lakini bila kusahau kuwa na wao CDM kuwa ni supporter wakubwa wa Ushoga tena pia wanajanga jengine la udini (makatoliki). Bora tubakie kuitwa magaidi, boko haram, boko halali, materrorist kuliko kuja kutawaliwa na Makhanit.hi ya CUF na CDM na mikatoliki!!! Kaeni uko uko kwenu Tanganyika mgeuzane maliberali na macameron!

chilubi hata iweje uislam hauji kua juu ya ukristo..
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ombi langu linafanyiwa kazi kuna mdau mmoja nimemuuliza kasema hiyo inawezekana kabisa tena wanampango huo. Yeye ni CDM yuko znz na nimzenji

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
CDM kije zanzibar ili iweje? Ah jamani mbona mnavituko nyinyi? Kwanza tunawashukuru CDM kuwafumbua watu macho kuwa CUF ni miongoni mwa wanaosapoti ushoga, lakini bila kusahau kuwa na wao CDM kuwa ni supporter wakubwa wa Ushoga tena pia wanajanga jengine la udini (makatoliki). Bora tubakie kuitwa magaidi, boko haram, boko halali, materrorist kuliko kuja kutawaliwa na Makhanit.hi ya CUF na CDM na mikatoliki!!! Kaeni uko uko kwenu Tanganyika mgeuzane maliberali na macameron!

Mkuu Mbona Povu na Mkia Juu!!!
Ina Maana hata Jussa Mtamfuzilia Bara, Na Maalim Seif je???
Hawa si Waliberali wenzenu jaman
 
Nadhani ombi langu linafanyiwa kazi kuna mdau mmoja nimemuuliza kasema hiyo inawezekana kabisa tena wanampango huo. Yeye ni CDM yuko znz na nimzenji

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
zanzibar vijana wote wajanja wan aconnection na Bara..na wanatrack sana movements za CDM.wengine wamebidi kuigiza.
 
Mkuu Mbona Povu na Mkia Juu!!!
Ina Maana hata Jussa Mtamfuzilia Bara, Na Maalim Seif je???
Hawa si Waliberali wenzenu jaman

Mkuu hatoki mtu povu apa, mi huwa nacheka tu nkiwaona mnavoishi kwa kulitizama kund.u la mwenzako ukamcheka kama nyani vile wakati na wewe unalo. Hujiskii noma conservative wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom