CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

CHADEMA pelekeni M4C zanzibar.

CDM inakubalika hata huko Zanzibar; kwa kuwa CDM inatambua hoja za Wazanzibar kutaka Tanganyika iwepo ili wao wawe na mamlaka kamili.

Muungano wa CUF na CCM hauna tija kwa wazanzibar, ulichoongeza ni ving'ora tu vya misafara ya viongozi. CDM kateteeni haki ya wazanzibar kama nchi iliyopata uhuru wake kwa kumwaga damu; lakini ikauuza uhuru huo kwa Tanganyika.

Mwl.Nyerere aliwezesha kuleta uhuru pasipo damu; pia akaifuta damu ya wazanzibar kwenye muungano huu. CDM ina ithamini damu ya wazanzibar iliyomwagika wakati ule wa mapinduzi, inataka ithaminiwe badala ya kupuuzwa.
 
CHADEMA ni chama cha Kaskazini.

we akiri zako umechanganya njegere zinasikirach zito wa huko?wenje wa huko? Rubsh kabisa ww usiyependa mabadiriko au ndo ware wa buku7? Unaongea mambo kama umetoka mochwari ayse badirika ww kwani kuna dhambi ktk mabadiriko? Au umelizika na kofia na t shert?umeniboa sana ww
 
Zanzibar labda wakristo ndio watakao wakubali ili sio wazanzibar waislamu.
 
Nadhani ombi langu linafanyiwa kazi kuna mdau mmoja nimemuuliza kasema hiyo inawezekana kabisa tena wanampango huo. Yeye ni CDM yuko znz na nimzenji

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
pandikikizi hilo.
 
Chadema wanaogopa kudhalilika na kuumbuka wakienda znz...hawakubaliki kabisa huko, wao ni kaskazini tu
 
unayo habari? Je umesahau? ni wazanzibari, wapenda nchi yao, wazalendo, wanaharakati, wana kindakindaki na wale wanaosema kwa yakini ya mioyo yao na kuthibitisha kwa vitendo vyao mapenzi makubwa ya nchi yao. Wale wanaoamini kwamba “vyovyote na iwe lakini Zanzibari ibaki huru yenye mamlaka yake kamili”. Umma huo utakusanyika kesho Jumamosi tarehe 01/06/2013 katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti. Uwanja wa Kibanda Maiti utageuka “Tahrir Square” ya Misri na kuudhihirishia ulimwengu kwamba wazanzibari kwa amani kabisa wanataka mamlaka kamili ya nchi yao tukufu. Unamuogopa nani ewe mzanzibari? Ogopa nchi yako kuendelea kuwa chini ya ukoloni. Hapa ni Zanzibar kwanza, itikadi ni baadae. Viongozi mbali mbali wa vyama mbali mbali wazalendo wenye uchungu na nchi yao wanatarajiwa kuhudhuria.
Shime wazanzibari tujitokeze kwa wingi. Mambo yataanza saa 2:00 za asubuhi mpaka saa 12:00 jioni. Mgeni Rasmi ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
TUNATAKA NCHI YETU SASA TUMECHOKA TAFRANI
ZANZIBAR KWANZA!
Zanzibar iko chini ya mkoloni yupi?ina maana hao viongozi wazalendo WA Zanzibar ni wakoloni?Tatizo kubwa ninaloliona hapa ni kwamba wazanzibar wamemiss sana nyakati zile za utumwa,mnahamu sana ya kutawaliwa tena na waarabu,CHADEMA ipo kwa wale wanaotaka KUJITAWALA na si KUTAWALIWA!Poleni sana!!!!
 
Chadema wanaogopa kudhalilika na kuumbuka wakienda znz...hawakubaliki kabisa huko, wao ni kaskazini tu

Acha wivu wa kike!ina maana Mwanza,Musoma,Mbeya,Iringa nk nk ni kaskazini?Mtajinyonga mwaka huu!Chadema ikawaamshe waliolala?ili ilale yenyewe?waache wafu wazike wafu wao!!!!!
 
lema si anasemaga yeye haogopi na dhambi kubwa ni uoga aende basi aone kama hawaja mdeshideshi.
 
Pppuuu kina hamijei wenyewe hawazidi mil 1.5 waende zao hao magaidi waendelee kuwakumbatia maliberali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom