CHADEMA 'Pasua kichwa' UKAWA

Hujui hata unachokiongea wewe !

Kwa namna hiyo basi, majimbo ya Zanzibar na urais wa Zanzibar nayo yagawanywe sawa kwa washirika wengine wa UKAWA ! Na huko nako watachaguliwa na members wote wa UKAWA ?. Nako huko kuna wanachama wa NLD, CDM na NCCR !

Unaonaje tungefanya hivyo !?

 
hivi haiwezekani wote wakajiunga chadema kikawa chama kimoja
 
Hapa ndipo nilijua tu pataleta tatizo.yaani position zinaonekana kama ni ulaji flani.badala ya kugawana majimbo based na kiwanvo vani chama husika kinakubalika CDM wao wanataka kujipangia maeneo dhaifu halafu yale ambayo ni strong hold za MCC waa hie vyama vingine.Huu si ubaraza
 
Mimi wasiwas wangu upo kwenye mshiko, yaaan ruzuku, baada ya October!! Unajua kura za rais zinatumika kutafuta kiasi gani chama kitapewa ruzuku Sasa kama CDM hakitasimamisha raisi ina maana mtaji wote wa ruzuku unaenda kwa chama kilichosimamisha rais. Hapo ndiyo pagumu ndiyo mana kila chama kinataka kisimamishe raisi.SAsa UKAWA siyo chama bali ni muungano na unaweza kuvunjika. Je CDM wapo tayari kutoa ruzuku yao kwa miaka mitano ijayo wakati wao wana mtaji wa wapiga kura kuliko vyama vingine ndani ya UKAWA? hapo ndiyo shughuli ilipo kwa kila chama ndani ya UKAWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…