Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,342
- 527
haya kumekucha
Ndoaana huwa nasema upinzani bado sana kuja kukamata dola, wenzao sisiemu wanakuwa kitu kimoja ktk muda nyeti wao wanagombania nani awe mgombea urais, wakija shtuka 2016 hiyo, Magufuli yuko magogoni!
CHADEMA kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA, hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya CHADEMA kutaka kitoe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavyo vimetaka aidha CHADEMA watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitoe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya CHADEMA na Cuf, CUF watowe rais na makamo wake, CHADEMAa kitoe wabunge wengi ili kijekitoe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo CUF wapo tayari kwa hilo lakini CHADEMA hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote.
Swali: Je, viongozi wa CHADEMA na wafuasi wake hio ni haki?
MZEE WAKENGEJA Pemba .
Binafsi nimechoka na kutofikia muafaka ndani ya UKAWA
Na wanavyogombana wananchi tuso na vyama tunazidi kuwapuuza....
kama wanagombana hawajachukua nchi wakipewa magogoni itakuwaje...??
Cuf itoe rais na makamu,...........kuliko hivo chadema wajitoe ukawa tuone hao viburi watafika wapi.
chadema imekuwa na operation nyingi mno,ina wabunge wengi,,,,halafu leo cuf watoe mgombea urais na makamu?
kama hivo heri kutengana chadema tunajiamini.
Yaani ukawa tukizingua tutapotea,kumbukeni mkizingua wafuasi huko kwingine magufuli anauzika
Mimi naiona proposal nzuri sana kwa kuwa chadema kina nguvu majimboni kitaweza kumbeba lipumba katika urais kwa kuwa kura zitatoka Chadema, Jamani hebu kubalkaneni tuivue CCM nguo kwa mara ya kwanza huko baadae tukija kugombana sawa tu kwani urais unakazi gani ya maana kama kuna waziri mkuu shupavu?
Mgogoro huo unaweza kuwepo na watu inatakiwa tuelewe kuja kwa UKAWA kumefanya baadhi ya VYAMA kutoendelea na Operations zao zakueneza CHAMA waliwaachia CDM peke yao kwa Lengo lakusafiria Nyota ya CDM kwenye Mgongo wa UKAWA tujiulize Chama km NLD na NCCR tangu walipotoka kwenye BUNGE. LA KATIBA wamefanya Mikutano mingapi,,,Kiukweli Viongoz wa CDM ni waungwana sana wamekubali kuungana kuitikia Takwa la wananchi kuunganisha nguvu na vyama vingine lkn kama wangekomaa wenyewe wangeweza kufanya vzr sababu wanamtandao mkubwa Kwahiyo hivyo vyama vingine vikubali tu sababu haiwezekani wengine waweSITE wengine wawe mtaani then tugawane sawa hii haikubaliki
usitumie maslahi ya watanzania kama kigezo
acha watu waipange safu yao
thats y i said lipumba anafaa kua waziri mkuu so obvious chadema watoe rais na makamu wake
Acheni u-pumba-vu nyie !
Majimbo au hizo nafasi ziwe za Udiwani, Ubunge au Urais hazigawanywi kama zawadi......
Kinapewa chama chenye potential ya kushinda i.e. chenye nguvu eneo husika......Huwezi kuwapa CUF urais kwa sababu wako weak sana huku bara !. Wana wabunge wawili tu wa kuchaguliwa !. Kuwapa wao ni ku-commit suicide.
Lengo la UKAWA ni kumwongezea nguvu yule mwenye nguvu na si kumvuta chini !. Ndio maana Zanzibar wameachiwa wao CUF pekee kwa sababu ndio wana nguvu. Wanaopiga kura ni wananchi sio hao viongozi wa UKAWA, na wananchi especially huku bara wnakikubali CDM kupita vyama hivyo vingne vyote.
CDM kwa nguvu yao wana stahili kuachiwa zaidi ya nusu ya nafasi za ubunge na udiwani na vile vile nafasi ya urais. Huo ndio ukweli, kuwapa wengine ni kujiweka katika mazingira ya kuyapoteza hayo majimbo kwenda CCM.....
Bora wanavyozozana sasa kuliko kungojea huko mbele. Mfano wakichukua dola rais atakuwa may be chadema waziri.mkuu cuf na wengineo, wakipingana kisera ni machafuko makubwa nchi nzima! Heri kila chama kiingie kwa sera na nguvu zake halafu kitafute mshirika kuliko huu upu.uzi wa kung'ang'anizana kuwa kwenye UKAWA ambao kiasi kikubwa unamilikiwa na chadema.
Acheni u-pumba-vu nyie !
Majimbo au hizo nafasi ziwe za Udiwani, Ubunge au Urais hazigawanywi kama zawadi......
Kinapewa chama chenye potential ya kushinda i.e. chenye nguvu eneo husika......Huwezi kuwapa CUF urais kwa sababu wako weak sana huku bara !. Wana wabunge wawili tu wa kuchaguliwa !. Kuwapa wao ni ku-commit suicide.
Lengo la UKAWA ni kumwongezea nguvu yule mwenye nguvu na si kumvuta chini !. Ndio maana Zanzibar wameachiwa wao CUF pekee kwa sababu ndio wana nguvu. Wanaopiga kura ni wananchi sio hao viongozi wa UKAWA, na wananchi especially huku bara wnakikubali CDM kupita vyama hivyo vingne vyote.
CDM kwa nguvu yao wana stahili kuachiwa zaidi ya nusu ya nafasi za ubunge na udiwani na vile vile nafasi ya urais. Huo ndio ukweli, kuwapa wengine ni kujiweka katika mazingira ya kuyapoteza hayo majimbo kwenda CCM.....
Ni kweli mkuu, waneshindwa kujipanga siku zote hizo alafu wanataka baadae kuunda serikali kwa mbinu hizi za dharura ..tunawapa miaka 5 ijayo ili mkajipange tena kwanza
Ni kweli mkuu, waneshindwa kujipanga siku zote hizo alafu wanataka baadae kuunda serikali kwa mbinu hizi za dharura ..tunawapa miaka 5 ijayo ili mkajipange tena kwanza