Hujui hata unachokiongea wewe !
Kwa namna hiyo basi, majimbo ya Zanzibar na urais wa Zanzibar nayo yagawanywe sawa kwa washirika wengine wa UKAWA ! Na huko nako watachaguliwa na members wote wa UKAWA ?. Nako huko kuna wanachama wa NLD, CDM na NCCR !
Unaonaje tungefanya hivyo !?

Nyie ni wahuni, ukisha sema Ukawa inamaana mgombea atapigiwa kura na wana Ukawa wote bila kujari vyama na hiyo ndo maana harisi. Sasa mnaanzaje kusema eti CUF ina wanachama wachache bara ndo maana maana hamataki Lipumba awe rais, kwani hizo kura anapigiwa na wanachama wake ama atapigiwa na na wana Uka wote? sasa kwanini mnawadanganya CUF eti wana wanachama wachache wakati kama ni kura anakuja kupigiwa na wana Ukawa wote? nyinyi CDM muache ulaghai na ubinafsi kwasababu nmaonesha wazi akiri zenu zote ni kutaka vyeo na kuviumiza vyama vingine, hii si sawa hata kidogo