Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mimi naona aende kivyake . Kwani sheria vyama na uchaguzi haikuweka mazingira ya vyama kufanya kazi pamoja.
Kwahiyo nawewe unaona umetoa mchango!
Mimi naona aende kivyake . Kwani sheria vyama na uchaguzi haikuweka mazingira ya vyama kufanya kazi pamoja.
Thanks mkuu,maana kuna habari zinavuma sana kwenye mediaUkawa washamaliza kazi tangy Jana saa tisa,kinachosubiriwa ni kutangaza 14.7.2015
Thanks mkuu,maana kuna habari zinavuma sana kwenye media
Bolded.........
Naona unahara kama bata mwenye utapiamlo halafu unajihami kwamba usitukanwe..!!! Hivi umeandika nini??
BACK TANGANYIKA
Chadema kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya chadema kutaka kitowe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavo vimetaka aidha chadema watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitowe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya Chadema na Cuf, cuf watowe rais na makamo wake, chadema kitowe wabunge wengi ilikijekitowe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo cuf wapo tayari kwa hilo lakin Chadema hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote, .Matusi sitaki usiniulize akanambia nani, swali je viongozi wa chadema na wafuasi wake hio ni haki? MZEE WAKENGEJA Pemba .
Duuu,hiyo Avatar yako naona ina akisi akili yako.
Mimi naiona proposal nzuri sana kwa kuwa chadema kina nguvu majimboni kitaweza kumbeba lipumba katika urais kwa kuwa kura zitatoka Chadema, Jamani hebu kubalkaneni tuivue CCM nguo kwa mara ya kwanza huko baadae tukija kugombana sawa tu kwani urais unakazi gani ya maana kama kuna waziri mkuu shupavu?

Ishu ni kwamba Rais na makamu lazima watoke chama kimoja mkuuNadhani lipumba anafaa kua waziri mkuu na sio rais
Maoni yangu tu!
thats y i said lipumba anafaa kua waziri mkuu so obvious chadema watoe rais na makamu wakeishu ni kwamba rais na makamu lazima watoke chama kimoja mkuu
Chadema kinaendelea kujifanya Mungu mtu ndani ya UKAWA hii imetokana na chama hicho kulazimisha lazima kiwaburuze vyama vyengine ndani ya UKAWA, hii imekuja baada ya chadema kutaka kitowe rais na wabunge wengi jambo lililopingwa na vyama vyengine ambavo vimetaka aidha chadema watowe rais na makamu wake au kitowe wabunge wengi ili kije kitowe waziri mkuu, jambo lililoungwa mkono na vyama vyote ambavo vimetaka magawanyo kati ya Chadema na Cuf, cuf watowe rais na makamo wake, chadema kitowe wabunge wengi ilikijekitowe waziri mkuu, au kinyume chake, ambapo cuf wapo tayari kwa hilo lakin Chadema hawako tayari wanataka waachiwe vyote, jambo ambalo limepingwa na vyama vyote, .Matusi sitaki usiniulize akanambia nani, swali je viongozi wa chadema na wafuasi wake hio ni haki? MZEE WAKENGEJA Pemba .
Wasaka tongeKama ni hivyo bora CDM waende kivyao, kwani CUF, NCCR na NLD wanaihitaji sana CDM kuliko inavyovihitaji hivyo vyama vingine.
BTW, mimi ninafikiri CDM imepata viti vingi vya ubunge kwasababu ya VIGEZO walivyojiwekea? Je, CUF inataka ipewe wabunge wengi kwa VIGEZO vipi?
Badala ya kujali maslahi ya watanzania nyie mnagombania vyeo!!thats y i said lipumba anafaa kua waziri mkuu so obvious chadema watoe rais na makamu wake
usitumie maslahi ya watanzania kama kigezoBadala ya kujali maslahi ya watanzania nyie mnagombania vyeo!!