CHADEMA 'Pasua kichwa' UKAWA

Na wanavyogombana wananchi tuso na vyama tunazidi kuwapuuza....
kama wanagombana hawajachukua nchi wakipewa magogoni itakuwaje...??

Ndoaana huwa nasema upinzani bado sana kuja kukamata dola, wenzao sisiemu wanakuwa kitu kimoja ktk muda nyeti wao wanagombania nani awe mgombea urais, wakija shtuka 2016 hiyo, Magufuli yuko magogoni!
 
Majimbo au hizo nafasi ziwe za Udiwani, Ubunge au Urais hazigawanywi kama zawadi......

Kinapewa chama chenye potential ya kushinda i.e. chenye nguvu eneo husika......Huwezi kuwapa CUF urais kwa sababu wako weak sana huku bara !. Wana wabunge wawili tu wa kuchaguliwa !. Kuwapa wao ni ku-commit suicide.

Lengo la UKAWA ni kumwongezea nguvu yule mwenye nguvu na si kumvuta chini !. Ndio maana Zanzibar wameachiwa wao CUF pekee kwa sababu ndio wana nguvu. Wanaopiga kura ni wananchi sio hao viongozi wa UKAWA, na wananchi especially huku bara wnakikubali CDM kupita vyama hivyo vingne vyote.

CDM kwa nguvu yao wana stahili kuachiwa zaidi ya nusu ya nafasi za ubunge na udiwani na vile vile nafasi ya urais. Huo ndio ukweli, kuwapa wengine ni kujiweka katika mazingira ya kuyapoteza hayo majimbo kwenda CCM.....


 
Na wanavyogombana wananchi tuso na vyama tunazidi kuwapuuza....
kama wanagombana hawajachukua nchi wakipewa magogoni itakuwaje...??

Mkuu acha kukaririshwa na Jamaa wa Lumumba Str uliwaona au kuckia wapi UKAWA wanagombana
 

We unaona mgawanyo uweje
 

Bora wanavyozozana sasa kuliko kungojea huko mbele. Mfano wakichukua dola rais atakuwa may be chadema waziri.mkuu cuf na wengineo, wakipingana kisera ni machafuko makubwa nchi nzima! Heri kila chama kiingie kwa sera na nguvu zake halafu kitafute mshirika kuliko huu upu.uzi wa kung'ang'anizana kuwa kwenye UKAWA ambao kiasi kikubwa unamilikiwa na chadema.
 

Chadema hawana cha uungwana wala nini katika kuunda UKAWA walifanya hivyo kwa kumuogopa Zitto baada ya kugombana nae.
 
Chimbuko la CCM ni TANU na ASP ndio maana inakubalika bara na visiwani,mkitaka UKAWA ifanikiwe na kusiwe na mvutano na mna nia ya dhati ya kuleta mabadiliko mkaunganishe vyama venu hivyo na mgawane vyeo kabla ya kuelekea uchaguzi ila kwa sasa naona mchelewa.
 
usitumie maslahi ya watanzania kama kigezo
acha watu waipange safu yao

Maslahi ya akina nani? Hakuna kuwapangia safu ya uchu wa madaraka watanzania badala ya kuwasaidia kutatua matatizo yao, badala yake mko bize kugawana vyeo!! Chadema mnafanya wizi mtupu.
 
thats y i said lipumba anafaa kua waziri mkuu so obvious chadema watoe rais na makamu wake

Lazima.Lipumba awe rais kwani nyie mnamchukuliaje?? eti awe waziri!!! ina maana akagombee ubunge!!
 

Nyie ni wahuni, ukisha sema Ukawa inamaana mgombea atapigiwa kura na wana Ukawa wote bila kujari vyama na hiyo ndo maana harisi. Sasa mnaanzaje kusema eti CUF ina wanachama wachache bara ndo maana maana hamataki Lipumba awe rais, kwani hizo kura anapigiwa na wanachama wake ama atapigiwa na na wana Uka wote? sasa kwanini mnawadanganya CUF eti wana wanachama wachache wakati kama ni kura anakuja kupigiwa na wana Ukawa wote? nyinyi CDM muache ulaghai na ubinafsi kwasababu nmaonesha wazi akiri zenu zote ni kutaka vyeo na kuviumiza vyama vingine, hii si sawa hata kidogo
 

Ni kweli mkuu, waneshindwa kujipanga siku zote hizo alafu wanataka baadae kuunda serikali kwa mbinu hizi za dharura ..tunawapa miaka 5 ijayo ili mkajipange tena kwanza
 

mkuu natumia.simu ningekugongea laki 800.inakuwa ajabu na kushangaza watu wanashangaa na kuwashangaa viongozi wa chadema kwa madai wanayo dai.hivi inakuwaje kama kuna jimbo walishinda chadema kwa tofauti ndogo sana na mbunge wa ccm na huku mbunge wa cuf na vyama vingine hawakusimamishwa kabisa leo hii hilo jimbo ukamsimamishe mbunge wa cuf hapo unategemea nini??

aliyekiyumbisha chadema na kupunguza idadi ya kura ni zitto kuondoka kwake.

lakini hata hivyo mm bado naona ukawa wacha wanao jitoa wajitoe chadema watapata wabunge wengi zito naye na chama chake naye atapata wabunge na yy ni vizuri akarejea tena bungeni hali kadhalika cuf nao wapigane na vyama vingine nao wahakikishe sehem wanayo kubalika waelekeze nguvu na kushinda.

ili bunge lijalo hata kama raisi atatoka ccm basi robo 3 ya wabunge watoke upinzani na yale mambo ya kubuluzana ya ndio mzee yaisheee.
 
Ni kweli mkuu, waneshindwa kujipanga siku zote hizo alafu wanataka baadae kuunda serikali kwa mbinu hizi za dharura ..tunawapa miaka 5 ijayo ili mkajipange tena kwanza

Mipango yao ya UKAWA ni ya zimamoto tu, nchi haiwezi kuongozwa kwa mipango ya hotelini.
 
Ni kweli mkuu, waneshindwa kujipanga siku zote hizo alafu wanataka baadae kuunda serikali kwa mbinu hizi za dharura ..tunawapa miaka 5 ijayo ili mkajipange tena kwanza

mkuu kumbuka kwenye msafara wa mamba na kenge pia wapo.bila kusahau mijusi nao sasa wala usishangae sana mm nikionacho kwa yanayotokea wala yasitufanye tuvulugane sana cha msingi nikukomaa tuu maana hata kwao nao pia wakati wanafanya mchakato mpaka wa kumpata magufuri haikuwa kazi ndogo na umafia mkubwa sana umefanyika.

hapa ccm watafanya kila hila kuona ukawa wanasambalatika lakini na hapo hakuna kitu kinachowezackuwamaliza kama zito nae akisema kuwa anajiunga na ukawa .

mm naona hapa upinzani wagawane tuu majimbo kulingana na mahali wanako kubalikaa.ila ukisema kuwa wagawane majimbo sawa litakuwa kosa kubwa sana na itakuwa furaha kwa ccm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…