CHADEMA Operation #TorokaUje imetikisa mji wa Musoma Mjini leo hii!

Mabadiliko hayazuiliki hii ni mpaka October 25 kwenye sanduku yatakuwa ni mafuriko!

Hivi hujakua tu kimaono. Tangu kampeni zianze hujagundua tu kwamba kutegemea katika mafuriko ni ukichaa kwani kote kote wanafurika na kushangilia huku wakibaki na siri yao moyoni?
 
Huu ni mwaka wa mwisho wa uhai wa ccm,watu wanataka mabadiliko,na has a kuiondoa ccm madarakani,ni aibu nchi inapoteza 30% ya pato LA taifa kutokana na rushwa,pesa hoi ingetosha kuboresha huduma za afya na elimu,i nchi inaibiwa an,viva ukawa
 
Eti toroka uje! Uende uka mwingine ikulu fisadi wa Richmond? Hapana. Ikulu sio sehem yake.
 
Tatizo huendi kupata chochote ukitoroka ukaenda kuuza nchi au ukaenda ikabidhi mikononi mwa mafisad
 
Back
Top Bottom