CHADEMA: Operation kijana amka

CHADEMA: Operation kijana amka

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Tunategemea kuwa na kikundi cha wapambanaji ambacho hakitahusisha viongozi wa chama wala wabunge.

Kikundi hiki kitakuwa na jukumu la kuzunguka Tanzania nzima kuhamasisha vijana kuona umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura.

Kikundi hiki kitakuwa ni cha watu waliojitolea na walio tayari kufanya kazi usiku na mchana katika kuleta uhuru wa kweli kwenye nchi yetu.

Pendekeza kikundi kiitweje na nani ungependa awe mmoja wa wapambanaji.
 
Tunategemea kuwa na kikundi cha wapambanaji ambacho hakitahusisha viongozi wa chama wala wabunge. Kikundi hiki kitakuwa na jukumu la kuzunguka Tanzania nzima kuhamasisha vijana kuona umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura. Kikundi hiki kitakuwa ni cha watu waliojitolea na walio tayari kufanya kazi usiku na mchana katika kuleta uhuru wa kweli kwenye nchi yetu. Pendekeza kikundi kiitweje na nani ungependa awe mmoja wa wapambanaji

hicho kikundi kitafadhiliwa na nani? hii ni ishara kuwa vijana wengi wa bavicha njaa inauma. sidhani kama mtu una kazi zako za maana utakubali kuingia kwenye hicho kikundi.
 
Lizaboni umeambia kujitolea swala la ufadhili limetoka wapi?
 
hicho kikundi kitafadhiliwa na nani? hii ni ishara kuwa vijana wengi wa bavicha njaa inauma. sidhani kama mtu una kazi zako za maana utakubali kuingia kwenye hicho kikundi.

km umeamua kujitolea we jitolee tu japo malipo yanaweza kuwa cyo leo malipo utayapata pale wajukuu zako watakapopata haki zao za msingi km elim afya bora na kodi atakazotozwa zifanye kazi inavyotakiwa na cyo kuliwa na wajanja km sa iv watu wanakula hela ya mlipa kodi na still wapo mtaan wakujiachia
 
Mmmhhhhhh! Mmmmhhh!
Hapo umeguna au umekoroma? Naona makundi yanakinyemela chama. Tuache hayo, kuna kitu najiuliza, kweli cdm mmeshindwa kupenya defence ya ccm dar? Nafikiri kuna haja ya kubadili strategy, kama ccm wana nyumba kumi nyinyi tumieni wapangaji watano. Kama wao wana wajumbe nyinyi tumieni wawakilishi,n.k Strategy nyingine nai-reserve mpaka mtakapoonesha nia ya kuiihitaji.
 
Hapo nakumbuka kale kajisong vijana tusilaleee lale lale vijana tusilaleee bado mapambano! Mwaka huu kijani mtakoma no stone will remain unturned, peopleeeeeee's
 
km umeamua kujitolea we jitolee tu japo malipo yanaweza kuwa cyo leo malipo utayapata pale wajukuu zako watakapopata haki zao za msingi km elim afya bora na kodi atakazotozwa zifanye kazi inavyotakiwa na cyo kuliwa na wajanja km sa iv watu wanakula hela ya mlipa kodi na still wapo mtaan wakujiachia

Mtakufa maskini, kuzunguka muda wote. Hamna kazi?
 
Yah mimi niko hapa nahubiri madhaifu ya vyama vya siasa.
 
Hapo umeguna au umekoroma? Naona makundi yanakinyemela chama. Tuache hayo, kuna kitu najiuliza, kweli cdm mmeshindwa kupenya defence ya ccm dar? Nafikiri kuna haja ya kubadili strategy, kama ccm wana nyumba kumi nyinyi tumieni wapangaji watano. Kama wao wana wajumbe nyinyi tumieni wawakilishi,n.k Strategy nyingine nai-reserve mpaka mtakapoonesha nia ya kuiihitaji.
Katika chaguzi ambazo hazitumii daftari la Wapiga kura hata cdm ikishindwa sioni tabu. Pia kuna haja ya kuliboresha daftari hilo. Vijana wengi wa cdm hapo mle!!
 
Vijana sawa hawamo kwenye daftari,lkn Cdm ni ya vijana pekee?. Kwa Dar bila kushika serikali za mitaa, mabadiliko yatabaki kuwa bahati nasibu. Mwananchi akihitaji hata huduma yoyote kwenye serikali za mitaa anaambiwa aanzie kwa mjumbe. Mjumbe huyohuyo ndo balozi wa ccm. Akifika kwa mjumbe, mjumbe naye anamkomoa kwa kushabikia upinzani. Matokeo yake anaona kuwa chama cha upinzani ni kero. Akifikia hiyo hatua, hata mruke na helikopta ishirini wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, yeye kwake ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Kama cdm inaipenda dar, itabidi ianze na 'huduma kero' za hao wajumbe (mabalozi wa ccm).
 
Tunapiga kelele kila siku kuwa CDM haijafika kwenye grass root bado. Ilikuwa inabidi kila penye mjumbe wa ccm na chadema wana wa kwao kwani hicho si cheo cha serikali bali cha chama. CDM iwe na matawi yake pia penye matawi ya ccm. Hapo ndo CDM kinge kuwa mark wapinzani wake vizuri! Japo juhudi kubwa inafanyika lakini bado kibarua ni kugumu na 2014 si mbali!
 
Back
Top Bottom