Chadema ongeza nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema ongeza nguvu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jacob Joachim, Apr 3, 2012.

 1. J

  Jacob Joachim Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wananchi wa Tanzania hususan wale wa mkoa wa Ruvuma wamekuwa wakihitaji sana kuwana matawi ya CHADEMA katika maeneo yao hasa vijijini. Umefika wakati kutenga fungu kubwa kwa ajili ya shughuli hiyo. Siyo kwa mkoa huo pia bali ni vyema kufanya hivyo nchi nzima. Pamoja na hilo ziara za mara kwa mara na mikutano ya mara kwa mara hasa ile ya hadhara itakiongezea nguvu chama.
   
Loading...