CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond

Status
Not open for further replies.
Huwa inasemwa, "penye udhia penyeza rupia".Sijui inapenyezwa wapi maana haiwezekani mtu unabadilike hivi kimsimamo!
 
Mashetani wanaopenda tuendelee kunyonywa wamejipanga ipasavyo kuhakikisha Lowassa ndiye rais 2015, wameziba kabisa masikio kutotaka kusikia vilio vya watanzani. Makanisani, misikitini, vilabuni, vijiweni, maofisini kote wameenea. Wanachojali ni pesa chafu anazotoa kama sadaka inayozidi kuitia laana nchi hii. Ni mioyo iliyokufa tu inayoweza kukubali Lowassa sio fisadi, Baba wa Taifa alisha muona mapema huyu kijana ananuka. Wengi wanasema anaweza kuwa rais, sio kwa sababu anafaa bali ni mwenye mbinu chafu za kishetani kufanya chochote anachoweza, Nape Nnauye shaidi wangu

My Take
CHADEMA kama chama cha wananchi wanyonge, mmetumia mda mwingi kupambanua majanga makuu ya watu wanaoangamiza taifa letu ikiwepo Lowassa na wananchi wamesikia sauti zenu, hivyo tunawaomba kwa nguvu ile ile muitaadharishe jamii juu ya Janga Lowassa kwani kuna kila dalili za kufanya ikulu iendelee kuwa pango la wanyanganyi. Shame on him and his followers
Moyo wako umekuwa, sasa hivi umekuwa manamba wa Lowassa
 
Maneno mazito sana haya tena yenye chembechembe za uzalendo. Shida yangu ni kwamba sijui kama bado unayaishi haya maneno au nawe ulishapata sadaka yako na viongozi wako pia wakapewa sadaka yao na mvinyo.
 
Mashetani wanaopenda tuendelee kunyonywa wamejipanga ipasavyo kuhakikisha Lowassa ndiye rais 2015, wameziba kabisa masikio kutotaka kusikia vilio vya watanzani. Makanisani, misikitini, vilabuni, vijiweni, maofisini kote wameenea. Wanachojali ni pesa chafu anazotoa kama sadaka inayozidi kuitia laana nchi hii. Ni mioyo iliyokufa tu inayoweza kukubali Lowassa sio fisadi, Baba wa Taifa alisha muona mapema huyu kijana ananuka. Wengi wanasema anaweza kuwa rais, sio kwa sababu anafaa bali ni mwenye mbinu chafu za kishetani kufanya chochote anachoweza, Nape Nnauye shaidi wangu

My Take
CHADEMA kama chama cha wananchi wanyonge, mmetumia mda mwingi kupambanua majanga makuu ya watu wanaoangamiza taifa letu ikiwepo Lowassa na wananchi wamesikia sauti zenu, hivyo tunawaomba kwa nguvu ile ile muitaadharishe jamii juu ya Janga Lowassa kwani kuna kila dalili za kufanya ikulu iendelee kuwa pango la wanyanganyi. Shame on him and his followers
Duh..halafu sisi tuliomkataa 2015 tunaitwa wasaliti eti tuombe radhi..
 
Mkuu;
Naona jamaa wanakupiga ngumi za usoni!

Kama bado hujafahamu maana ya kuweka akiba maneno kupitia hii thread nadhani hutaweza kujifunza tena!

Uliiamini sana CHADEMA badala ya kutafuta muda ili ujifunze tabia za wanasiasa wa CHADEMA.

Kwa sasa wanasiasa wa CHADEMA wanafurahia maisha wakati wewe ukiendelea kupokea ngumi za uso!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom