CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OKW BOBAN SUNZU, Nov 26, 2011.

 1. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 19,432
  Likes Received: 8,508
  Trophy Points: 280
  Topic Closed
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,202
  Likes Received: 1,386
  Trophy Points: 280
  Nape amekusikia
   
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,727
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kuna kiwewe kimewapanda baadhi ya wana magamba toka juzi baada ya EL kuongea katika kikao cha NEC. Mlidhani Lowassa ameisha eeh?
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. EL ni mchapa kazi
   
 5. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,168
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Naipenda CHADEMA ila Lowasa ni kiongozi hasa na ana uwezo mkubwa wa kuikomboa TZ.
   
 6. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,733
  Likes Received: 674
  Trophy Points: 280

  Crap of the week...
  Chuki zako peleka kilabuni mlikojadiliana huu utumbo.
   
 7. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 2,815
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  CCM wakianza kugombana CHADEMA chukua Jembe ukalime wewe JUMA NGARAGA hujatulia naona ndiyo unaamka usingizini naamini Ukikua Utayaacha hayo maneno yako hakika wewe si Great-Thinker
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,701
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  hiyo siyo kazi ya chadema wewe tunamajukumu mengi ya kufanya na si kumsaidia magambaaaa's
   
 9. Mudawote

  Mudawote JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2016
  Joined: Jul 10, 2013
  Messages: 4,359
  Likes Received: 2,534
  Trophy Points: 280
  OKW BOBAN SUNZU Mungu alisikia maombi yako, fisadi lowasa hayupo ikulu na hatokuja kuingia ikulu
   
 10. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2016
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 3,736
  Likes Received: 1,809
  Trophy Points: 280
  OKW BOBAN SUNZU umehamia lini magambani wewe??
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,323
  Likes Received: 5,840
  Trophy Points: 280
  Hizi Nyuzi zingine sio za kuamusha kabisa, kamanda naona dua zako zilisikika Lowasa hakufakiwa kuwa Rais.

  Ama kweli sifa kuu ya Mtanzania ni unafiki.!

  Hayo maneno kwenye red makali sana mheshimiwa.
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,323
  Likes Received: 5,840
  Trophy Points: 280
  Mkuu sio vizuri kuwavua watu nguo mchana kweupe namna hiyo.!
   
 13. C

  Crimea JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2016
  Joined: Mar 25, 2014
  Messages: 3,135
  Likes Received: 1,966
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha,,,kwa andiko hili CHADEMA wote akiwemo mleta mada ni mashetani,,

  Alafu kumbe huyu OKWI BOBAN SUNZU ndiye **** *******?

  Loh,,,,mashetaniiii!!!!,,,,hahahahaha Mungu hamfichii mnafiki,,,,
   
 14. Malick M. Malick

  Malick M. Malick Verified User

  #14
  Aug 8, 2016
  Joined: Apr 2, 2013
  Messages: 564
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Ahsante JF kwa Kutunza kumbukumbu kwa hiki kizazi, yaani JF ni rejea ya ukweli, haikanushiki... Inawaumbua wengi sana.. JF baba la kumbukumbu kwa walaghai wasio na msimamo na wasio jua wanasimamia nini
   
 15. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 21,295
  Likes Received: 9,159
  Trophy Points: 280
  Uje huku wewe kibendera
  Njoo ujibu hii
   
 16. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 21,295
  Likes Received: 9,159
  Trophy Points: 280
  Nataka hii iwe nature ya kumjibu huyu mleta mada
   
 17. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 21,295
  Likes Received: 9,159
  Trophy Points: 280
  Hahaha Dunia hii!!!
   
 18. C

  Crimea JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2016
  Joined: Mar 25, 2014
  Messages: 3,135
  Likes Received: 1,966
  Trophy Points: 280
  Alafu haka kajamaa ndio sasa siku hizi utakuta kamejipinda humu kana mtetea kweli Lowas.

  Mimi huwa nasema ukikosa msimamo kama alivyo mleta mada, uwe na uhakika kwamba hata familia yako lazima ikushinde.

  Sikutegemea kama huyu jamaa nae ni mnafik hivi. Alafu ukiyaona huku mtaani utafikiri majitu yenye msimamo kumbe ziro kabisa,,,,,

  Alafu hawa ndio utegemee watokee mbele ya polisi siku ya UKUTA? Kweli?

  ovyo kabisa....
   
 19. chamilo nicolous

  chamilo nicolous JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2016
  Joined: Mar 10, 2016
  Messages: 897
  Likes Received: 575
  Trophy Points: 180
  malisa na kikundi chake cha wanahabari huru wajitokeze wajibu hoja, ndo mashetani hao, na shetani hana haya
   
 20. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #20
  Aug 8, 2016
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,604
  Likes Received: 3,585
  Trophy Points: 280
   
Loading...