CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond

Status
Not open for further replies.
Topic Closed
Tatizo, watu walishaweka nukuu...! Kiungwana ulitakiwa uklozi huu mjadala kwa kutoa sababu zilizokufanya ubadilishe mawazo na kushauri chama hicho kumteue mtu uliyekuwa unamtuhumu kwa 'ufisadi'. Ungefanya hivyo ungekuwa shujaa wa muda huu.
 
Mimi nilishaconclude 2015 kwamba watz, haswa hawa jamii nyumbu, ni mojawapo ya maajabu makuu duniani kuwahi kutokea.

Never forget this
 
Wakati mwingine mwenyezi Mungu anatuepusha na majanga. Kama Chadema ingeshinda uchaguzi uliopita sijui nchi ingekuwaje maana tunaona leo hii wanavyotetea mafisadi na wauza unga bila aibu na wanasahau walivyokuwa wanapinga ufisadi kabula ya ujio wa Lowasa.
 
Kwani CDM ni Takukuru au Polisi, laumu vvombo vya Serikali kwa kushindwa kumukamata. Akiendelea kua uraiani ataemdelea kua msafi tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom