Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Yetu macho! KAZI IPO TANZANIA, akili nyingi maarifa hatuna.
Ni kweli yenu machozi kama maarifa hatuna akili pia ni hati hati.
Yetu macho! KAZI IPO TANZANIA, akili nyingi maarifa hatuna.
Viongozi wa CDM ambao walituma vikosi vya Kumsaidia Odinga wameumbuliwa na Matokeo ya Uhuru kuibuka Kidedea.
Walionyesha wazi kumuunga Odinga huku wakimponda swaiba wa Odinga Magufuri kuwa alitumwa na CCM.
Kwenye mitandao waliandika Matokeo ya kenya ndiyo refrection ya 2015. Yetu macho! KAZI IPO TANZANIA, akili nyingi maarifa hatuna.
Tunatafakari mambo mazito na kuyapa uwepesi. Huu ni uvivu wa kufkiri. Tuijenge Tz, siasa Mwisho wake kwa ushabiki huu siyo Mzuri.

Biashara hiyo dogo! Siasa mwenyeji Pesa mgeni!Kuna magari ya M4C yamekwama Kisumu.
Kuna magari ya M4C yamekwama Kisumu.
Kama hamjui utamaduni wa kimnataifa wa urafiki wa vyama bora ukae kimya,
Kama hujui siasa za kimataifa na misimamo ya vyama mbalimbali bora unyamaze unajitia aibu.
Narudia na mimi kusema, uchaguzi wa kenya ni taswira ya kutazama tufikapo 2015 hasa kwa kuzingatia maamuzi yatakayotolewa na kenya supreme court kwenye kesi ya Odinga dhidi ya matokeo haya ya uraisi.
Hii ni afya ya demokrasia ya nchi za africa mashariki.
Hii ni afya kwa vyama vyote vinavyotukuza demokrasia ya kweli na sio chadema pekee.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tazama citizen tv sasa utapata majibu raila yupo live
Kweli Magambaz hamnazo, mmeshindwa kutatua matatizo yenu ya ufisadi, Rushwa, kushuka kwa kiwango cha elimu, ukosefu wa huduma za afya, n.k badala yake mnajipatia sifa za kijinga ati ushindi wa Uhuru umetokana na Umafya wa CCM katika uchakachuaji wa kura.
Pole yako mkuu, Mh. Mbowe yupo mjini Musoma akiisulubu CCM. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ha ha haa.......na huyu alimtambua?
huyu ndo mwizi wa pesa za rambirambi kwenye misiba ya kina kanumba![]()
Kwa hiyo ccm imeshinda? Maana inaonyesha uhuru yupo mbele kwa kura.
Biashara hiyo dogo! Siasa mwenyeji Pesa mgeni!
Walienda Kenya kupiga kampeni lini vile!
Ha
ha haa.......na huyu alimtambua?
huyu![]()
ndo mwizi wa pesa za rambirambi kwenye misiba ya kina kanumba
unahakika na unachokiongea? au ulinyimwa mgao? au kuchafuana?