yericho nae kabadili gia fastaaUpo kazini kuspin Matokeo ya uchaguzi wa Kenya?
Naona unafukua tu mada za zamani
Hawa vijana sio wa kulaumu kabisa, wamekosa tu ujasiri wa kusimama na kubaki na wanachoaminiMakaburi yanayofukuliwa ya uyu jamaa ni mengi sana View attachment 561658
Sent using Jamii Forums mobile app
Makaburi yanayofukuliwa ya uyu jamaa ni mengi sana View attachment 561658
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu [emoji1]Hawa vijana sio wa kulaumu kabisa, wamekosa tu ujasiri wa kusimama na kubaki na wanachoamini
[emoji1] [emoji1] uyu mhenga nahisi ana ugonjwa wa kusahau sahau.hahahahhah, jamani achene kufukua ya nyuma, tehe tehe tehe tehe