CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

Mambo mengine ya kukaa kimya tu, unaweza jidhalilisha mbele ya jamii
 
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubwa ya kushinda kupitia muungano wa vyama ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni ya mapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,

Ikiwa ni hivyo tayari CCM na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)

Karata yangu naitua kwa CHADEMA.
Rudi nyumbani kajenge hoja za ndani, usikimbilie Diaspora!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20170810-084914.png
Screenshot_20170810-085037.png
 
Tatizo sio la Yerico bali ni Raila Odinga ndiye kabadili gia angani na kumsapoti Magufuri
 
Back
Top Bottom