Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Hutaki unaacha.ni lini chadema wametangaza kumuunga mkono odinga au kenyata au ccm wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
walitangaza lini aisee??CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
Karata yangu naitupa kwa Raila Amollo Odinga wa muungano wa CORD.
Lakini hali inavyoonyesha kutakuwa na duru ya pili ya kura.
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa waogombe urais wa Kenya,
Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini chadema, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.
Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya chadema na ccm kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,
Ikiwa ni hivyo tayari ccm na chadema kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni Chadema Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.
Je ni chadema (Odinga) ama CCM (Uhuru)
Karata yangu naitua kwa Chadema.
Tangu Andrew aseme hakutambui, nimekuwa nikipuuzia post zako!
Wewe una matatizo si kidogo.
By the way, uchaguzi wa Kenya ni very sensitive matter kutokana na historia ya uchaguzi uliopita. Vithread vya kipumbavu kama hivi vinaweza kuwa sababu ya kukosekana msuluhishi just in case jambo baya likitokea.
Utu uzima haupigi hodi, UMESHAKUWA mkubwa behave kama mkubwa...
walitangaza lini aisee??
Hivi unaweza kuongoza nchi kupitia Skype? usijekuukimbia huu uzi.CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015
Uhuru kaja tz kakaa zaidi ya wiki mwezi uliopita, au hilo hujui ila unajua ubishi tu?ni lini chadema wametangaza kumuunga mkono odinga au kenyata au ccm wametangaza lini mbona mnapenda kuzusha mambo na kujiingiza kwenye siasa za watu.....mambo ya kenya waachieni wakenya wenyewe mara huyu hivi yule vilee watanzania bana ya kwenu yamewashinda mnaanza umbea
Tangu Andrew aseme hakutambui, nimekuwa nikipuuzia post zako!
Mkuu mimi ni CDM, lakini nitasikitika sana akishinda jaluo.Ikiwa mnaendesha siasa za ghiriba kwa majirani kisha mje mjifanye wasuluhishi hilo ni unafiki tu,
Odinga atashinda na ccm mtakosa wasaidizi 2015